Una ujumbe mzuri ila umetoa kwa wasio walengwa.Hapa ni kijiwe cha wazoefu wa kujipenzisha.Madada wa hapa route zao ni ndefu:
mwalimu wa twishen
mwanafunzi(mkali wa hesabu)
muuza chipsi vumbi
Dereva Bodaboda/bajaji
Dereva taxi
jiran nyumba ya pili
Afisa mwajiri
boss ofisin
mfanyakazi mwenzie
kaka wa rafiki yake
ex boyfriend wa dadake
yaan list ni ndefu!!
SASA HAWA SIO WA KUWAPA USHAURI.
mwalimu wa twishen
mwanafunzi(mkali wa hesabu)
muuza chipsi vumbi
Dereva Bodaboda/bajaji
Dereva taxi
jiran nyumba ya pili
Afisa mwajiri
boss ofisin
mfanyakazi mwenzie
kaka wa rafiki yake
ex boyfriend wa dadake
yaan list ni ndefu!!
SASA HAWA SIO WA KUWAPA USHAURI.