wise samura
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 515
- 296
Hio sio ndoa bali wamezini nakupata mtoto nje yandoa by the way walipendeza kwenye video ya Salome
Ndoa ni amri toka kwa muumba wambingu na ardhi sio society sema kama wendio walewale mnaosapoti uzinziKuoana sio lazima. Watu wengi wanaoana kwa vile wanakariri jinsi ya kuishi tu. Sio lazima ufanye kila kitu kwa vile unataka kuiridhisha society, ishi maisha yako vile unavyojisikia alimradi usivunje sheria za mahali unapoishi.
Leta evidence sio wakurupuka tuumanabii wote waliishi na wake zao bila ndoa, huo ni mfumo watu tu walijiwekea.
amri ya ngapi?Ndoa ni amri toka kwa muumba wambingu na ardhi sio society sema kama wendio walewale mnaosapoti uzinzi
wewe ndo ulete evidence unaetaka kunipruv wrongLeta evidence sio wakurupuka tuu
tusiende mbali tuanze kwenye ABC, Kaini alioa?Nabii yupi amnbae hakuoa
Kaini ni nabii?tusiende mbali tuanze kwenye ABC, Kaini alioa?
ndo mana nimesema tuanze na ABC, yani kwenye base. kama enzi za kaini hakukuwa na ndoa huoni kama mnachobisha ni upuuzi?Kaini ni nabii?
86 yenyew naona km uongo tuAunt c wa 1986 iyobo cjui in 1990 ;by the way siku hiz kuzaa na Jidada au Jimama kawaida tuu na wamama nao wanataman kuzaa na vijana
Ndoa ni amri toka kwa muumba wambingu na ardhi sio society sema kama wendio walewale mnaosapoti uzinzi
Acheni ukoloni nyinyi umri number tu mapenzi yako pale pale kama ana mkono wa kuchapa bhash hata tukigeuza hizo number bhado atachapahuyo dogo ipo siku atachezea makofi ya huyo bibi ndo akili itamkaa sawa.