Ninavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha – Mose Iyobo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,742
215,933
xAunt-na-Mose-300x194.jpg.pagespeed.ic.gRmGY887zw.webp


Dancer maarufu wa Diamond, Mose Iyobo amesema jinsi anavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha lakini atafunga ndoa ili watu wa verify kama instagram.
Mose Iyobo na Aunt Ezekiel wamefanikiwa kupata mtoto mmoja [Cookie] mwenye umri wa mwaka mmoja.

Akiongea kwenye kipindi cha E News, kinachoruka kupitia EATV, Iyobo alisema, “Lakini ninavyoishinae ni ndoa tosha kwa sababu tunaishi kama baba na mama hivyo nataka kujithibitisha inabidi nifunge ndoa ili watu wani-verify kama instagram.”

Aidha Iyobo ameongeza kuwa hapendi watu wanavyomzungumzia vibaya mzazi mwenzie huyo wakidai kuwa eti ni mzee kwani angelikuwa hivyo yeye asingelisogea kwa kuwa angelikuwa kama anatembea na mama yake.
 
Bajeti hii sijui kama mwaka huu ndoa zitadumu kama zamani maana kumiliki gari ni 2,50,000 badala ya 150,000 .plate number private ni mil.10 badala ya mil.5 ya mwanzo HATAREEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Kuoana sio lazima. Watu wengi wanaoana kwa vile wanakariri jinsi ya kuishi tu. Sio lazima ufanye kila kitu kwa vile unataka kuiridhisha society, ishi maisha yako vile unavyojisikia alimradi usivunje sheria za mahali unapoishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom