Ninavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha – Mose Iyobo

Kuoana sio lazima. Watu wengi wanaoana kwa vile wanakariri jinsi ya kuishi tu. Sio lazima ufanye kila kitu kwa vile unataka kuiridhisha society, ishi maisha yako vile unavyojisikia alimradi usivunje sheria za mahali unapoishi.
Ndoa ni ibada mkuu labda kama wewe ni wale wasioamini uwepo wa Mungu. Ndoa haikuwekwa na society mpaka useme unafunga ndoa kuiridhisha society.
 
Kuoana sio lazima. Watu wengi wanaoana kwa vile wanakariri jinsi ya kuishi tu. Sio lazima ufanye kila kitu kwa vile unataka kuiridhisha society, ishi maisha yako vile unavyojisikia alimradi usivunje sheria za mahali unapoishi.
You are living out of your mind...or else there is something you justifying...

Hata kabla ya wazungu na waarabu kutuleta huo tunaita uislam au Ukristo...kulikua na taratibu za kurasimisha haya
Zinaa ni laana...ndo maana kabla ya mambo au mapambano watu hukatazwa zinaa hata kimila...endelea kula laana...halafu unalalamika maisha magumu...magonjwa....ajira nk
 
Mi sijaoa na hapa ninavyo-quote hii comment yako there's somebody on her way to my bed. Na sijawahi kuwa na tatizo la ajira wala kulalamikia maisha. We amini unavyoamini lakini usiwapangie watu jinsi ya kuishi.
 
Wanawake aina ya Aunt n hatari kwa ustawi wa vijana wetu wa kiume.
Hatar yake ni ipi?
Kiukweli no body saw it coming that way. But Ame tbadili Moses sana. Right now the guy akipita anajulikana ni baba na mume wa mtu. Ana heshima haswaaaa.

Mlimsema sana mkata viuno ila mwache aunt basi yy ni mama Bora kaweza kumlea Moses kwa namna ambayo ni admirable kwa wengine
 
Ninavyojua Aunt Ezekiel aliolewa na Sunday Demonte, hivi waliachana kweli hadi akaisho na mwanaume mwingine? Duh
 
Ninavyojua Aunt Ezekiel aliolewa na Sunday Demonte, hivi waliachana kweli hadi akaisho na mwanaume mwingine? Duh
Hiko kijamaa kimekula mvuwa za kutosha huko Dubai, wacha raia wema wale mzigo yeye akitoka amuowe Masogange muuza unga mwenzake au yule mdada aliyepigwa miaka uko Uchina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom