Aunt Ezekiel adai kulogwa na aliyekuwa mpenzi wa Mose Iyobo

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Star wa bongo movie Anti Ezekieli amedai kuwa aliyekuwa mpenzi wa mose iyobo anamuandama sana
Anti ezekieli amedai mwanamke huyo amekuwa akituma watu kuja nyumbani kwake na kuchota mchanga kwa ajili ya kwenda kumfanyia ulozi
Lakini amedai yupo ngangari
 
hahahaaaa aunty bana eti kapost uko insta anamuuliza iyobo amempa nn huyo mdada mpaka ananga'ng'aniwa hivyo,kama ye hang'ang'anii kwanini asimuachie huyo mdada uyo iyobo wake.hakukumbuki kama kaitelekeza ndoa kisa uno la iyobo
imani tu potofu
 
tuondolee pumba hapa, huyo eyobo ana nini na Aunty ana nini cha ajabu. eti eyobo hawezi kurudi alikotoka, una nini cha ajabu. anamsema anaongea kwenye mitandao, yeye hapa anaongea kwenye chungu..!!!. kutembea na ma minister sasa ma stage show, kesho wasukuma mikokoteni. apeleke ulimbukeni wa wanaume huko.
 
Star wa bongo movie Anti Ezekieli amedai kuwa aliyekuwa mpenzi wa mose iyobo anamuandama sana
Anti ezekieli amedai mwanamke huyo amekuwa akituma watu kuja nyumbani kwake na kuchota mchanga kwa ajili ya kwenda kumfanyia ulozi
Lakini amedai yupo ngangari

laana ya kumtelekeza mumewe wa ndoa halali wa Dubai inamwandama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom