Ninavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha – Mose Iyobo

Hio sio ndoa bali wamezini nakupata mtoto nje yandoa by the way walipendeza kwenye video ya Salome
 
Kuoana sio lazima. Watu wengi wanaoana kwa vile wanakariri jinsi ya kuishi tu. Sio lazima ufanye kila kitu kwa vile unataka kuiridhisha society, ishi maisha yako vile unavyojisikia alimradi usivunje sheria za mahali unapoishi.
Ndoa ni amri toka kwa muumba wambingu na ardhi sio society sema kama wendio walewale mnaosapoti uzinzi
 
Hana akili kweli.
Kwahiyo instagram ndio inamfanya afunge ndoa?
Kweli wasanii wanaishi kisanii.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom