Ninavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha – Mose Iyobo

Aunt c wa 1986 iyobo cjui in 1990 ;by the way siku hiz kuzaa na Jidada au Jimama kawaida tuu na wamama nao wanataman kuzaa na vijana
 
mnapenda sana kungulia wakubwa zenu siku hizi vijana.
Madam Sky Elcat siku hiz baadhi munatutongozaga live kabisaaa yani tukiwasalimia munajibu nan mama yako unataka kuninyima nin? Yuko mmoja nimempotezea alikuwa anataka wakata jamaa yake namjua na ni Supplier wangu wa Rangi za nyumba
 
Heshima mjini imepotelea dirishani, usishangae binti wa form four anagombania bwana na li aunty:oops::oops:
 
Adam na Hawa hawakufunga ndoa basi kama hivyo wao ndo walikua wazinzi wa kwanza na sisi wote ni wana haramu.. tujaribu kufikiria sio tunahukumu tu.

Kwa maana hii ndoa ni nadharia na hakuna sababu ya kuwepo?hakuna upuuzi kama kuogopa kusema ukweli hasa kwenye dhambi narudia uyo Aunt anafanya zinaa na hakuna justification kwenye hili.
 
Kwa maana hii ndoa ni nadharia na hakuna sababu ya kuwepo?hakuna upuuzi kama kuogopa kusema ukweli hasa kwenye dhambi narudia uyo Aunt anafanya zinaa na hakuna justification kwenye hili.
manabii wote waliishi na wake zao bila ndoa, huo ni mfumo watu tu walijiwekea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom