Aunt Ezekiel ajibiwa, Mose Iyobo ni mwanaume mzuri kuliko wanaume wote?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Msichana ambaye Aunt Ezekiel alikuwa anadai anataka kunyang'anya mume amemjia juu na kudai hana mpango huo na yupo karibu na Mose Iyobo kwa sababu wamezaa pamoja mtoto.

Msichana huyo amesema tayari nae ana bwana na kumshangaa Aunt Ezekieli kuzusha maneno anaibiwa bwana na kumuuliza kwani Mose Iyobo ana fedha kuliko wanaume wote au ni mzuri kuliko wote hadi yeye amnyang'anye??

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom