Aunt Ezekiel amemnyima Unyumba Mose Iyobo ?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,007
2,000
Dansa maarufu Bongo, Moses Iyobo, amesema kuwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amenyimwa penzi na mzazi mwenzie Aunt Ezekiel hajaona kama kuna tatizo ingawa aliandika kama utani.

Akizungumza na gazeti hili, Iyobo alisema kuwa yeye na Aunt ni watu ambao wanataniana sana japokuwa tayari ni wazazi kwa hiyo hata alipoandika juzikati Instagram, alikuwa kwenye kuendeleza utani japo mashabiki wao wameipokea vibaya.

“Unajua watu wanashindwa kuelewa lakini mimi na mama Cookie (Aunt) tunataniana sana kwa hiyo hata kuandika vile ni kumtania tu sasa watu hawakuelewa naona wametoa povu kweli,”
alisema Iyobo.

Iyobo alikomenti kwenye video aliyoposti Aunt ikimuonesha akitembea akisindikiza na ujumbe wa neno ‘fresh’:
“Umeninyima penzi halafu uposti fresh?” alikomenti Iyobo.
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,181
2,000
Kazi tunayo si kidogo
Acha tu mkuu, inakera sana, hili ni balaa tupu... Watu wanafuatilia vitu vya ajabu sana kwenye mitandao wakati kuna vitu vya msingi vingeweza msaidia.... Sasa iyobo akinyimwa penzi sisi inatuhusu kwa mfano
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,393
2,000
Dansa maarufu Bongo, Moses Iyobo, amesema kuwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amenyimwa penzi na mzazi mwenzie Aunt Ezekiel hajaona kama kuna tatizo ingawa aliandika kama utani.
Akizungumza na gazeti hili, Iyobo alisema kuwa yeye na Aunt ni watu ambao wanataniana sana japokuwa tayari ni wazazi kwa hiyo hata alipoandika juzikati Instagram, alikuwa kwenye kuendeleza utani japo mashabiki wao wameipokea vibaya.
“Unajua watu wanashindwa kuelewa lakini mimi na mama Cookie (Aunt) tunataniana sana kwa hiyo hata kuandika vile ni kumtania tu sasa watu hawakuelewa naona wametoa povu kweli,”
alisema Iyobo.
Iyobo alikomenti kwenye video aliyoposti Aunt ikimuonesha akitembea akisindikiza na ujumbe wa neno ‘fresh’:
“Umeninyima penzi halafu uposti fresh?” alikomenti Iyobo.
Akili ya mcheza show ni sawa na akili ya mwanasesere
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,232
2,000
Dansa maarufu Bongo, Moses Iyobo, amesema kuwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amenyimwa penzi na mzazi mwenzie Aunt Ezekiel hajaona kama kuna tatizo ingawa aliandika kama utani.
Akizungumza na gazeti hili, Iyobo alisema kuwa yeye na Aunt ni watu ambao wanataniana sana japokuwa tayari ni wazazi kwa hiyo hata alipoandika juzikati Instagram, alikuwa kwenye kuendeleza utani japo mashabiki wao wameipokea vibaya.
“Unajua watu wanashindwa kuelewa lakini mimi na mama Cookie (Aunt) tunataniana sana kwa hiyo hata kuandika vile ni kumtania tu sasa watu hawakuelewa naona wametoa povu kweli,”
alisema Iyobo.
Iyobo alikomenti kwenye video aliyoposti Aunt ikimuonesha akitembea akisindikiza na ujumbe wa neno ‘fresh’:
“Umeninyima penzi halafu uposti fresh?” alikomenti Iyobo.
Kukata viuno inasaidia nini katika ujenzi wa uchumi hapo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom