Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
Airbus irudi jamani Hali Ni mbaya
naunga mkono hoja.. hahaa umenifurahisha
Airbus irudi jamani Hali Ni mbaya
Sijajua unamaanisha nini but inshort mke mkubwa take 1.9m na mdogo sijui ila ni NESI sasa wananitegemea kivipi. .Mbona wawili na si zaidi. mbona Hao wamama unaishi kwa vitisho ,kwa nini? kwamba anayetaka kuondoka aombe talaka utampa. Inaonekana wanakutegemea kwa mahitaji yao. hicho ndicho kinakufanya uwafuge. Siku wakipata jinsi ya kujitegemea utawapoteza.
Hata hao bibi zetu waliokuwa wakiolewa wengi, walikuwa wakipata uwezo wanahama kwa mzee na kuanza maisha yao
Acha kutukatisha tamaa we mama sijui mkojekwa kifupi mtoa mada anajiweza kiuchumi..sasa iga ufe!
Acha kutukatisha tamaa we mama sijui mkoje
Mbona umejibu kwa hasira kama ni hivyo basi nimeacha hamkawii kuuawana nyiemnhhhhhh go ahead
Umeona eehEti wanaelewana , thubutuu
Nabii gani alikuwa na wake wengi?Makanisa ya sasa duniani ukiwa na mke zaidi ya mmoja unatengwa fasta! Ila ukiwa changudoa au shoga wala hutengwi! Yaani wanavyochukia polygamy sijui imewakosea nini wakati manabii kibao hadi walioongea ana kwa ana na Mungu walikuwa na wake zaidi ya mmoja na Mungu hakuwahi kuwaambia marufuku! Hawa ambao hata sauti ya malaika hawaijui ndiyo wanapiga vita polygamy, ushoga ambao Mungu hakuwahi kuhalalisha na alichoma moto mji mzima ndiyo tunaambiwa tuwavumilie tuwa tolorate ila polygamists tuwatenge!