Ninavyoimudu ndoa ya Wake Wawili

Ninavyoimudu ndoa ya Wake Wawili

Umechagua fungu jema, kuna watu wanakomaa na mke mmoja na michepuko lukuki ukimwambia si uoe tu mke wa pili utasikia mimi mkristo dini hairuhusu, nyambaf dini hairuhusu kuwa na wake wawili ila kuchepuka inaruhusu? Am sorry ila sie kina Bwana asifiwe tuna unafiki mwingi sana, yaani furaha yetu tuonekane mbele ya jamii kuwa tu wakristo ila matendo ya kikristo hatuyaishi kabisa.
Naomba "nikuwowe" uwe mke wangu wa pili...?
 
Umechagua fungu jema, kuna watu wanakomaa na mke mmoja na michepuko lukuki ukimwambia si uoe tu mke wa pili utasikia mimi mkristo dini hairuhusu, nyambaf dini hairuhusu kuwa na wake wawili ila kuchepuka inaruhusu? Am sorry ila sie kina Bwana asifiwe tuna unafiki mwingi sana, yaani furaha yetu tuonekane mbele ya jamii kuwa tu wakristo ila matendo ya kikristo hatuyaishi kabisa.
sometimes unanikosha sana......hii umechoma ndani kabisa....
 
Back
Top Bottom