Ninavyoimudu ndoa ya Wake Wawili

Ninavyoimudu ndoa ya Wake Wawili

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,276
Reaction score
2,435
Baada ya utangulizi hapo juu leo nitatoa mrejesho wa mada tajwa.


Mimi niko na wake wawili na ninawapenda wote equally. Ilikuwa kazi ngumu sana kwangu kuanza maisha mapya, kwanza ndugu walianza maneno yao mengi tu na ifahamike nimetokea familia ya kikristo. Sikumsikiliza hata mmoja wao, nilikaa na my wife nikaongea nae kwa undani zaidi akakubali japo kwa mbinde.

Suala lililofuate nikatengwa church nikasema sasa ndio mmenipa amani nilikuwa natafuta sababu ya kutokuhudhuria mana sikuona lolote la msingi zaidi ya sadaka 9 kila jumapili. Na sasa si muamini, bali ni free man, nalo jitahidi kufanya kuonyesha upendo na kuwa social tu thats all. Naenda misibani, naona wagonjwa, kama kuna jirani anahitaji msaada na niko na uwezo nafanya. Dini im sorry i was once a slave. Note: Naamini uwepo wa Mungu turejee kwenye mada.

Mke mdogo amepewa siku 3, mke mkubwa siku 4 (protocol). Ila incase nitahitajika mahali popote na sio siku ya kwenda huko lazima niende ila namtaarifu wa upande wa pili. Mara nyingi kama naenda kwa bibi mdogo siku hyo nikitoka kwenye mihangaiko napitia kwa bibi mkubwanapiga nae story mbili tatu naondoka.

Nacho shukuru wote wanaelewana hawana shida. Na nimeongea nao wote wawili nawajengea nyumba sehemu moja viwanja vimepakana ila nitaweka fensi.Sheria yangu ni moja: Yeyote atakae choka anaruhusiwa kuomba taraka nitampa muda wowote akitaka. But so far, tuko vizuri na tuna miaka 3 sasa.

Ndugu zanguni, tuache hizi mbwembwe za dini za mafalisayo. Babu yangu mimi Guzman_ alikuwa na wake 6 leo mfarisayo amatokea sijui wapi anasema dhambi nasisi kama mazuzu tunasema sawa, na anaenda mbali zaidi kuwa dini zenu ni ushenzi tunakubali, ukijenga kaburi la babu yako ni dhambi kubwa sana, ukienda kutambika upate baraka unaabudu mizimu tukasema sawa.

Alivo maliza sasa wanaanza kusema watu weusi ni mikosi. Hakia nani sisi kweli ni mikosi na wenda wazimu na wakati wakitubagua kwa rangi zetu sisi tunabaguana kwa dini zetu tena zile tumeletewa. Sijui kama kuna mtu anaelewa hapa.
 
Umechagua fungu jema, kuna watu wanakomaa na mke mmoja na michepuko lukuki ukimwambia si uoe tu mke wa pili utasikia mimi mkristo dini hairuhusu, nyambaf dini hairuhusu kuwa na wake wawili ila kuchepuka inaruhusu? Am sorry ila sie kina Bwana asifiwe tuna unafiki mwingi sana, yaani furaha yetu tuonekane mbele ya jamii kuwa tu wakristo ila matendo ya kikristo hatuyaishi kabisa.
 
Mkuu hao viumbe usiishi nao kwa kuwaamini hata kidogo, kwa maelezo yako inaonyesha umewaamini sana, kuelewana kwao kunaweza kukawa kwa mazuri au mmoja kumshambulia mke mwenzake na uzao wake au kukushambulia wewe faza house wote wawili kama team.
 
Rubbish!
Baada ya utangulizi hapo juu leo nitatoa mrejesho wa mada tajwa.
Mimi niko na wake wawili na ninawapenda wote equally. Ilikuwa kazi ngumu sana kwangu kuanza maisha mapya, kwanza ndugu walianza maneno yao mengi tu na ifahamike nimetokea familia ya kikristo. Sikumsikiliza hata mmoja wao, nilikaa na my wife nikaongea nae kwa undani zaidi akakubali japo kwa mbinde. Suala lililofuate nikatengwa church nikasema sasa ndio mmenipa amani nilikuwa natafuta sababu ya kutokuhudhuria mana sikuona lolote la msingi zaidi ya sadaka 9 kila jumapili. Na sasa si muamini, bali ni free man, nalo jitahidi kufanya kuonyesha upendo na kuwa social tu thats all. Naenda misibani, naona wagonjwa, kama kuna jirani anahitaji msaada na niko na uwezo nafanya. Dini im sorry i was once a slave. NOTE. Naamnini uwepo wa MUNGU
Turejee kwenye mada.
Mke mdogo amepewa siku 3, mke mkubwa siku 4 (protocol). Ila incase nitahitajika mahali popote na sio siku ya kwenda huko lazima niende ila namtaarifu wa upande wa pili. Mara nyingi kama naenda kwa bibi mdogo siku hyo nikitoka kwenye mihangaiko napitia kwa bibi mkubwanapiga nae story mbili tatu naondoka. Nacho shukuru wote wanaelewana hawana shida. Na nimeongea nao wote wawili nawajengea nyumba sehemu moja viwanja vimepakana ila nitaweka fensi.
Sheria yangu ni moja: Yeyote atakae choka anaruhusiwa kuomba taraka nitampa muda wowote akitaka. But so far, tuko vizuri na tuna miaka 3 sasa.
Ndugu zanguni, tuache hizi mbwembwe za dini za mafalisayo. Babu yangu mimi Guzman_ alikuwa na wake 6 leo mfarisayo amatokea sijui wapi anasema dhambi nasisi kama mazuzu tunasema sawa, na anaenda mbali zaidi kuwa dini zenu ni ushenzi tunakubali, ukijenga kaburi la babu yako ni dhambi kubwa sana, ukienda kutambika upate baraka unaabudu mizimu tukasema sawa. Alivo maliza sasa wanaanza kusema watu weusi ni mikosi. Hakia nani sisi kweli ni mikosi na wenda wazimu na wakati wakitubagua kwa rangi zetu sisi tunabaguana kwa dini zetu tena zile tumeletewa. Sijui kama kuna mtu anaelewa hapa.
Mwisho. Dada zetu wengi huku mtaani wanapenda kuolewa kadiri jamii ya MAPUNGA inavozidi kukua tatizo ni lefu sana. Mapunga mawili yakikutana hesabu wanawake 2 wameshakosa waume.
MWISHO: Jamani tuoe, kama unaweza leo OA achana na hao maaskofu tunaokutana nao kwenye makasino na makanisani. NIMEMALIZA
 
Mke mdogo amepewa siku 3, mke mkubwa siku 4 (protocol).

1567168617616.png
 
Umechagua fungu jema, kuna watu wanakomaa na mke mmoja na michepuko lukuki ukimwambia si uoe tu mke wa pili utasikia mimi mkristo dini hairuhusu, nyambaf dini hairuhusu kuwa na wake wawili ila kuchepuka inaruhusu? Am sorry ila sie kina Bwana asifiwe tuna unafiki mwingi sana, yaani furaha yetu tuonekane mbele ya jamii kuwa tu wakristo ila matendo ya kikristo hatuyaishi kabisa.
Hawawezi kukuelewa
 
Umechagua fungu jema, kuna watu wanakomaa na mke mmoja na michepuko lukuki ukimwambia si uoe tu mke wa pili utasikia mimi mkristo dini hairuhusu, nyambaf dini hairuhusu kuwa na wake wawili ila kuchepuka inaruhusu? Am sorry ila sie kina Bwana asifiwe tuna unafiki mwingi sana, yaani furaha yetu tuonekane mbele ya jamii kuwa tu wakristo ila matendo ya kikristo hatuyaishi kabisa.

Ratio kati ya wanawake kwa wanaume ni kubwa, michepuko lazima iwepo ili kubalance nature
 
Mbona wawili na si zaidi. mbona Hao wamama unaishi kwa vitisho ,kwa nini? kwamba anayetaka kuondoka aombe talaka utampa. Inaonekana wanakutegemea kwa mahitaji yao. hicho ndicho kinakufanya uwafuge. Siku wakipata jinsi ya kujitegemea utawapoteza.
Hata hao bibi zetu waliokuwa wakiolewa wengi, walikuwa wakipata uwezo wanahama kwa mzee na kuanza maisha yao
 
Back
Top Bottom