Bimkubwa amesema wazi kabisa kwamba ahitaji kushauriwa juu ya nini afanye kwa mzazi mwenzie huyo, bali yeye ameomba kusaidiwa kile ambacho anaona kinampa msukumo moyoni mwake....Mama hebu kuwa na akili komavu. Kama huna pesa za kusafiri huhitaji kuchangiwa ukamuone ex tena usikute ameoa utakuta kebehi huko.
Kama anaongea mpigie simu umpe pole Na muombee Mungu ampende zaidi ili na wewe uolewe wenyewe wanasema 'oa single maza kama mumewe kafa'
Nakuona comrade.....[emoji12] [emoji12]Ww si una roho mbaya
Sio muda sahihi watu wengine hawajui hilo.Kwa sasa kinachohitajika ni kumsaidia, maneno mengine ni masimango flani ivi
SwadataaaaaBimkubwa amesema wazi kabisa kwamba ahitaji kushauriwa juu ya nini afanye kwa mzazi mwenzie huyo, bali yeye ameomba kusaidiwa kile ambacho anaona kinampa msukumo moyoni mwake....
Mkuu, wewe kama una mahasira na mzazi mwenzio basi usihamishie mtazamo wako kwenye huu uzi.
Bimkubwa hajaomba ushauri zaidi ya mchango wako ambao ni muhimu sana kwa haja ya moyo wake.....
Heshima yako sana ComradeLeo umeniangusha Madam, huyu anajenga daraja la kifamilia hasa watoto kuwaunganisha na nduguze wewe hutaki?
Pia anataka asiachiwe deni moyoni endapo huyu x wake ataenda njia ya ulimwengu asibaki na lawama.
Mamndenyi go dadake
Mungu awe nawe na azibariki kazi za mikono yako...[emoji120]Nimeshamtumia mkuu
Mkuu tumepotezana aisee.Heshima yako sana Comrade
Salaam sana wana MMU wote;
Nimekuja kwenu rasmi kuleta taarifa hii ya kuuguliwa na bwana ambaye nimezaa naye watoto wangu wote wanne.
Kweli tulifikia mahali kimaisha tukatengana tokea 2001. Kila mmoja akiwa na maisha yake huku nikiwa na changamoto kubwa na kali za kulea watoto ambao ilibidi nibaki nao, hayo kwa sasa tuyaweke pembeni.
Hadi ninavyoandika huu uzi hakuna mtoto hata mmoja ambaye ameshapata kibarua wote wapo kwenye kuhangaika kutafuta kazi.
Ilipofikia mwaka jana mwishoni nikapata taarifa ya kuwa yule bwana niliezaa naye anaumwa, nikajuwa ni homa za kawaida tu.
Leo kaka yake ndo ananipigia simu na kusema kuwa mdogo wake amezidiwa sana na alikuwa amezimia ila kazinduka tena juzi.
Kwangu hiki kitu ni kikubwa nimeshindwa kukibeba.
Kwenu wana jamii kwa upendo wenu ninaomba mnichangie nauli ili niweze kwenda huko Mbeya kumwona huyo mgonjwa. Kama mnavyojua mahali penye ugonjwa mkubwa pia panahitajika hela ya matumizi mengineyo.
Kwa wana jamii wa Mbeya mnaweza kwenda kumuuona nyumbani ni Sae.
Naomba tu msinitukane maana nitalia;
Pole Sana mkuu, kumbe umeikula ChumviSalaam sana wana MMU wote;

[emoji419]Hua sipendi mtu matatizo yake anayafanya ya dunia nzima.
Akiuguliwa,akiumwa,akijamba lazima aseme dunia nzima ijue!
Tuwe tunajikaza kisabuni bwana!
Mungu akubariki pia kwa moyo wako mkunjufu!! Wanawake wengi huteswa na mapepo na magonjwa mengi kwa sababu ya kuhifadhi uchungu vifuani mwao!! Hongera kwa kushinda Hilo jaribuAsante sana jamani. Mungu awabariki.
Ameen Mamndenyi tumetoka mbali tangu enzi zile za UkadaMungu awe nawe na azibariki kazi za mikono yako...[emoji120]
Utowe mrejesho wa Mapato yaliyopatikana ili iwe precedence kwa wengine walio wenye matatizo zaidi ya kwako hasa ya ugonjwa..Asante sana jamani. Mungu awabariki.
Hv kuuliza ndio ujuaji? Acha kukurupukaDada yetu kaomba msaada wa nauli halafu wewe unaanza kuleta ujuaji, kama huna mchango piga kimya mkuu...mtu mpaka kutuhusisha hapa maana yake kakabwa na uhitaji!
Comment nzuri, Hakuna jambo la kudumu chini ya jua.Pole Mamdenyi. These too shall pass.
Toa Utaratibu unachangiwa kupitia njia
zipi?
Kushare tatizo lako na wenzako na kupata mawazo yao kwa kiasi kikubwa husaidia kupunguza mawazo ambayo mwenye tatizo huwa nayo na hivyo kupunguza hatari ambayo ingetokea iwapo angebaki nalo mwenyeweHua sipendi mtu matatizo yake anayafanya ya dunia nzima.
Akiuguliwa,akiumwa,akijamba lazima aseme dunia nzima ijue!
Tuwe tunajikaza kisabuni bwana!