Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Mkuu unaweza kutuma kwa kuchagua kutuma mitandao mingine sahivi inawezekana siyo lazima yeye awe na airtel.
 
Ndio maana siku hizi ninakupenda
πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜› nimemhurumia sana maana ukiona mtu ameamua kueleza shida yake ya kifamilia basi ujue kweli katingwa. Hela kitu gani mkuu QUIGLEY hadi ifanye watu tushindwe hata kupeana tafu kwa vitu vya kijamii kama hivi!!! nime feel hali aliyonayo mtani wangu. Tayari nimemrekebishia kidogo nilichojaliwa.
 
Asante sana, Mungu akubariki.
 
Unajua mtu akiamua kufunguka kuhusu hali yake AMEKUHESHIMU SANA umefanya vyema sana mrembo wangu, nawe usiache kunishirikisha jmn
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…