Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,771
- 25,419
Haujatimiza hata miezi miwili humu jf, hivyo kaa pembeni utuache wahenga na shida zetu Gademmit shubamit....[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Uwe na usiku mzuri comradeNi salamu to boss[emoji23] [emoji23]
Hakuna shida mkuu ila case ya kujiua kwa wengine haikuwa kwa sababu ya inshu ya mleta ila nililenga kwa wote wanaopitia changamoto ambazo huziona kubwa mpk kukosa njia nyingine ya kutatua mfano kuna wale wanaofeli pepa, kusalitiwa kutaja chacheSorry mkuu, unaanzaje kujiua kisa ex anaumwa? Tena mliachana 17yrs ago, alimove on akaoa na watoto juu!! Nadhani ingeleta maana kama anaomba nauli kwa watoto wakamwangalie baba yao lkn yeye! Hell no.
My thought though, no hard feelings
Naogopa ban[emoji23] [emoji23]Umemfahamu je?Nielejeze na mimi.
Waswahili bhana.Mamndenyi dada, are you serious umekosa nauli hata kwa ndugu zako? Unajishughulisha na shughuli gani?
Mkuu, usipende kujiingiza kwenye migogoro na ujuaji kwenye familia za watu.Sorry mkuu, unaanzaje kujiua kisa ex anaumwa? Tena mliachana 17yrs ago, alimove on akaoa na watoto juu!! Nadhani ingeleta maana kama anaomba nauli kwa watoto wakamwangalie baba yao lkn yeye! Hell no.
My thought though, no hard feelings
[emoji2] [emoji2] , mwambie atume pesa akishamaliza hilo nae afukunyue.Naogopa ban[emoji23] [emoji23]
Nimefurahia DEBE lako mkuu, ubarikiwe sana sanaUwe na usiku mzuri comrade
Toa pesa acha mahubiriPole Mama... Maisha yanachangamoto nyingi sana!! Mungu akujalie moyo wa upendo zaidi mamangu!! Usijali tupo pamoja!!
Asante kwa kutusaidia na kutupunguzia jam wahenga tubaki kwa raha zetu ..[emoji12] [emoji12]Uliyotoa wewe inatosha mkuu, acha wenye maswali tupite hivi
Bimkubwa amesema wazi kabisa kwamba ahitaji kushauriwa juu ya nini afanye kwa mzazi mwenzie huyo, bali yeye ameomba kusaidiwa kile ambacho anaona kinampa msukumo moyoni mwake....
Mkuu, wewe kama una mahasira na mzazi mwenzio basi usihamishie mtazamo wako kwenye huu uzi.
Bimkubwa hajaomba ushauri zaidi ya mchango wako ambao ni muhimu sana kwa haja ya moyo wake.....
Eti ID ya pili...Mzee acha ku-judge bila kufikiri!
Hii ni ID yangu ya pili!
Nipo JF tangu 2009!
Nothing you can lecture me on anything,on JF atleast!
Mtu unakuja JF kuomba msaada to some random people kwa kuandika makala?
Tujifunze ku-deal na emergency problems,wote yanatukuta kila siku,kila mtu akiandika humu server za JF zitatosha?
Heri hata uwe honest useme directly kabisa "naomba msaada yamenishinda",nilichoona ni shindano la kuandika insha yenye kuhuzunisha na majonzi zaidi watu waingie huruma,nothing more!
Amigo....Kuna watu ni bahili hawataki kusaidia wala kuona wengine wanajitokeza
HahahahahahahaMkuu, usipende kujiingiza kwenye migogoro na ujuaji kwenye familia za watu.
Bilashaka haujui yalio wasibu, na pia sisi wahenga huwa tunajua kwamba hata kama mmeachana kwa miaka mingi.... Inakujaga kubadilika na kuwa marafiki kwa kuunganishwa na watoto.
Nadhani upo na shida flani anyway, then uchungu na maumivu yako unayahamishia kwa mleta uzi huu
Mkuu, usipende kujiingiza kwenye migogoro na ujuaji kwenye familia za watu.
Bilashaka haujui yalio wasibu, na pia sisi wahenga huwa tunajua kwamba hata kama mmeachana kwa miaka mingi.... Inakujaga kubadilika na kuwa marafiki kwa kuunganishwa na watoto.
Nadhani upo na shida flani anyway, then uchungu na maumivu yako unayahamishia kwa mleta uzi huu
Ndo umenikumbusha kitu hapa, kuna mdada alikuja kwa ndugu yake (jirani yetu), kujisubiria ili ajifungue. Week nzima ana dalili zote za kujifungua, ila anaenda hospital anakaa then inabidi atolewe coz hamna chochote. Imefika stage ni amechoka hajiwezi kabisa, hali imekuwa mbaya wakasema ngoja wampeleke kwenye maombi. Kufika kanisani Mchungaji akamwambia; "wewe hauna medical complication yoyote wala hujarogwa, kinachokuchelewesha kuzaa ni uchungu ulionao juu ya mzazi mwenzio (kumbe mzazi mwenzie amemtelekeza etc); hamishia huo uchungu wa moyoni uje huku chini, then utajifungua salama". Akaondoka zake kwa amani and yes, usiku wake akajifungua mtoto wake salama salimin. Kwa kweli kadri unavyofunga moyo wako ndivyo na mambo yako yanajifunga hivyo hivyo.Mungu akubariki pia kwa moyo wako mkunjufu!! Wanawake wengi huteswa na mapepo na magonjwa mengi kwa sababu ya kuhifadhi uchungu vifuani mwao!! Hongera kwa kushinda Hilo jaribu
Mkuu huyu kama alivyo sema ana ID mbili basi jua ameona ameshambuliwa na moja kaja na nyingine mpotezee maana waswahili wanasemaMkuu, usipende kujiingiza kwenye migogoro na ujuaji kwenye familia za watu.
Bilashaka haujui yalio wasibu, na pia sisi wahenga huwa tunajua kwamba hata kama mmeachana kwa miaka mingi.... Inakujaga kubadilika na kuwa marafiki kwa kuunganishwa na watoto.
Nadhani upo na shida flani anyway, then uchungu na maumivu yako unayahamishia kwa mleta uzi huu
Hilo jina lako ukitoa S ukaweka C halikubaliki kiserikali.Amigo....
Watu kama hawa huwa hawafanikiwi na Mungu hawabariki kwa roho zao mbaya......