mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 750
- 544
Wanabodi kutokana na hali ya kimaisha kuendelea kuwa ngumu, nimepata wazo la kuanzisha Darasa dogo tu la mafunzo yale ya awali ya computer ikipendeza nianze na computer 10, naomba Ushauri kwa mwenye idea na hii kitu ni
1. Vitu gani ambavyo vinahitajika zaidi ya hizo computer?
2. Naweza kuongeza na kitu gani ili kuleta mvuto wa biashara hiyo?
3. Vipi mambo ya Usajili hayawezi kunikaba? endepo kama sitasajili?
4. Ni kitu gani kingine naweza kuongeza ktk biashara hiyo na vikaenda sambamba?
5. Mawazo yote yenye kunijenga nayapokea nayakaribisha!
Natanguliza Shukrani