Ninataka kumwacha au kutafuta wa pembeni....!

Nov 19, 2011
69
11
Mambo vp wadau, nina girlfriend wangu kitambo sasa. Tunaheshimiana sana na tunapendana, ila shida iliyopo kwangu ni ya kuamkwa na hisia za kungonoka kila wakati. Hili linanipa wakati mgumu sababu yeye anakuwa bize sana kazini kwake, kwa hiyo muda wa kumpata ni hadi ajiibe. Naombeni ushauri wa hii kitu, nimwache au nitafute wa pembeni bila kumwacha yeye?
 
Mambo vp wadau, nina girlfriend wangu kitambo sasa. Tunaheshimiana sana na tunapendana, ila shida iliyopo kwangu ni ya kuamkwa na hisia za kungonoka kila wakati. Hili linanipa wakati mgumu sababu yeye anakuwa bize sana kazini kwake, kwa hiyo muda wa kumpata ni hadi ajiibe. Naombeni ushauri wa hii kitu, nimwache au nitafute wa pembeni bila kumwacha yeye?

Pole sana mkuu mimi naona ukimuoa huyo binti hautapata shida yoyote, kwani kama mchana kutwa yupo busy utapata "chakula cha usiku" unamwamsha na kupata hakiyo bila ya shida yoyote.
Hao wa pembeni wataleta matatizo kwenye huo uhusiano mimi sikushauri hata kidogo.
:spy:
 
endelea kudanganyika kuwa hana muda

kumbe kuna anaekugongea niagizie anapopatikana

halafu baada ya muda kidogo ntakuambia kama

ana muda ama laa
 
Hilo ni tatizo tafuta tiba ya ushauri,lakini pia jitahidi kufanya mazoezi na kujikeep busy itasaidia!
 
Hiyo tabia ya kuwaza ngono kila mara unakalibisha addiction ya ngono. Typical Psychiatry Case of Sex mania. Dalili zake ni Fantasizing, imaginations and Dreaming unafanya ngono usiku.
 
Ina maana ww ni kaka wa nyumbani? Mwenzio akiwa busy kazini,ww unawaza ngono? Keep busy banaa,acha umariooo!
 
Dah!mkuu sasa mwenzio yuko busy na kazi,
Na kwa jinsi anavyokupenda anajitahidi hadi mnakuwa wote hata km c kwa kiwango unachotaka ww,
Siku mkiona na akawa amejifungua ambapo mda mrefu hamtaweza kufanya hiyo kitu itakuwaje?
Acha hizo bwana,fuata ushauri wa dada yangu king'sti hapo juu!
 
Ukiiendekeza hii hali itakusumbua sana. Ukimuacha huyu ulonae, huyo atakaefata ndo atakuwa available kila mara uwazapo ngono? Kutafuta wa pembeni is wastage of time na itakucost kwa sababu ndo utakuwa unachochea kabisaa hizo hisia na mawazo ya ngono, na utajiendekeza knowing that yupo wa pembeni atakae kutibia! Kuwa busy na mambo ya msingi, uthamini huo muda anaojitoa kwa ajili yako na utauona unatosha sana. Epuka kuangalia porn movies na badala yake waweza soma stories na makala tofauti tofauti ili kuepuka mawazo ya ngono!! Punguza kusikiliza sana hizo nyimbo zenu za chombeza, then waweza ongeza nyimbo za dini na vile vile waweza sikiliza mahubiri au mawaidha kupitia redio (aidha kwa simu au kupitia online)! Acha masihara my dear, maisha ya ndoa hayaandaliwi hivo, tengeneza mazingira mazuri kwa ajili yako na umpendae. ALL THE BEST.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom