Ninatafuta sofa za aina hii

Napenda sana masofa kama aliyo nayo Shemeji yangu aliye muoa dada yangu anaishi Turkey ngoja nitamuomba anitumie picha niweke hapa.....


Joke.... Wakuu msinipopoe...
 
[emoji3][emoji3][emoji3]utakuta yamesambaratika
Hizi sofa za aina hii huwa zinataka nidhamu,ukikaa uwe straight kama una meditate hivi,ukiwa wale mwenzangu na Mimi mara umekalia mgongo mara mabega huziwezi
 
Sasa haya hayana tofauti yeyote na yale.

Hata match za vitini hapo zinakuwa ngumu.

Na jinsi tulivyo hatuwezi kutulia tukikaa. Kama mimi[emoji3][emoji3] ndio kabisa.

Unakaa vizuri then unaanza kujiselelesha[emoji23][emoji23][emoji23]
Utayakuta sakafuni,unakumbuka Yale makochi ya zamani na cushion zake? Mtoto ukiambiwa lala kwenye Kochi,huwezi hata kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…