juliuskwanga
Member
- Apr 5, 2016
- 11
- 3
Vigezo vingi kuliko qualifications za kuomba umeneja sbs
Haya ila sijakuona badoAsante mwalimu.
Asante. Kitu kizuri hakina haraka. PM wamekuja wengi shida vigezo. Akipatikana nitarudi hapa kufunga thread.Toka alhamisi hadi leo jumamosi nadhani mstahiki keshajitokeza kuwania nafasi
Kuomba unachokihiitaji ni jambo moja na kupata unachokitaka ni jambo la pili...Mungu akusimamie
Huwezi kuandika mbele za watu wasome unachotaka alafu uwazuie mawazo yao na lugha watakazotumia kukujibu dhidi yako,kiufupi MUNGU pekee ndo mwenye majibu yako na huleta mtu pasi hata wewe kujua siku wala saa,lakini kuja hapa kutafuta mume ni kuendelea kumpa shetani nafasi akuletee tena wale wale,wewe unapaswa kufundishwa hekima kwanza.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 47. Nina watoto watatu. Tulitengana katika ndoa baada ya kutendwa na kutelekezwa na mume. Nilikwazika na kukata tamaa sana ya mahusiano. Nilikaa muda mrefu sana bila mahusiano. Nikajaribu kuruhusu ya aliyejiita mlokole kumbe ilikuwa gear ya kuficha maovu.
Nikaangukia pua kwa mara ya pili na kuamua kuishi tena muda mrefu bila mahusiano. Kwa sasa basi ninahitaji kumpata mwanamume ambaye ana mapenzi ya dhati hasa uaminifu. Sihitaji kuolewa au niseme kuishi na mwanamume tena ila ninataka company tu. Na kupitia kampany nitaweza kujifunza kwa undani kama kweli mwanaume yuko siriazi au la. Ninachohitaji kwa sasa ni upendo wa dhati, nimerudia hapo.
Sitaki wababaishaji wa mahusiano na hapa atakayejitokeza awe mtu wa uhakika ambaye:
- Ni mgani i.e aliyefiwa na mkewe kwa misingi hii kama una baba yako hapa alifiwa na mama niunganishe tu. Au kaka yako ambaye amefiwa na mke niunganishe tu.
- Akubali kupima HIV
- Asiwe mume wa mtu au mwanaume ambaye hajao ila ana wanawake ambao ana connect nao. Hii imenigusa sana baada ya kukutana na mwanaume ambaye alizaa na several women kumbe ni mtu ambaye hana future kabisa kimaisha ya familia. Nilimpenda sana ila changamoto za wanaume kama hawa ni kubwa sana. Ni kujitakia presha.
- Anipe uhuru wa kufanya mambo yangu ya kiuchumi kwa kuwa nina watoto na ninahitaji wasiishi maisha ya tabu . Sitaki kuwa tegemezi hapa. Nimejifunza sana.
- Awe ananithamini mimi kama mpenzi wake na asinilazimishe ndoa mpaka pale nitapona kuwa kweli ni mtu wa kuzeeka naye.
- Awe ni mtu anayejituma katika kuzalisha mali, either ameajiriwa/kujiajiri au anafanya biashara zake.
- Awe ni mtu anayependa familia kwa kuanzia na watoto wake mwenyewe iwe ni priority kwake kabla hajawapenda wanangu mimi.
- Awe tayari kuandikiana pre-nuptial agreement kama itafikia mahali tuamue kuishi pamoja. Ninasema hivi kwa kuwa atakuwa na mali zake na wanawe ambao atataka kuwapa urithi na mimi nina wanangu na chochote kidogo nilichoweza kuhangaikia kwa miaka yangu hivyo sitaki ugomvi wa mali hata kidogo.
-Asiwe Mlevi au Mvuta sigara.
- Awe mkristu. Sibagui ila mimi ni mkristu na wangu pia hivyo itakuwa shida kidogo hapa. Nimekuwa mkweli msinielewe vibaya.
- Awe na miaka kati aya 47-50.
Ninasema sasa kwa mwanaume ambaye anaona anaweza kujaribu kuanzisha mahusiano na mimi karibu PM. Ukiona utatoa lugha mbovu isiyo na staha ninaomba upite taratibu.
Angalizo.
Nipo serious, ninaomba sitaki lugha za matusi ua mitaani mimi ni mtu mzima. Wanaume serious tu na wenye umri niliotaja wani Meseji (PM].
Loeli a.k.a Bundimkubwa salamu.Asante. Kigezo kigumu ni kipi hapo? Nisaidie ili kama vipi nikiondoe.
Asante sana kwa ushauri. Kila MTU mwenye mke au mume wanayeishi vizuri wana historia ya jinsi walivyokutana. Vigezo vyangu Mimi ni rare ndiyo maana ni lazima nijiongeze njia ya kupata.Huwezi kuandika mbele za watu wasome unachotaka alafu uwazuie mawazo yao na lugha watakazotumia kukujibu dhidi yako,kiufupi MUNGU pekee ndo mwenye majibu yako na huleta mtu pasi hata wewe kujua siku wala saa,lakini kuja hapa kutafuta mume ni kuendelea kumpa shetani nafasi akuletee tena wale wale,wewe unapaswa kufundishwa hekima kwanza.