Ninatafta watu wa ngara waishio DSM

Ninatafta watu wa ngara waishio DSM

Aisee..Magufuli umewanyoosha hadi wamebuni style mpya ya kupiga dili, nakwambia hapa hunipati ng'o....Na nieleweke wazi kuwa sipokei mtu yoyote hata awe shangazi yangu[emoji2] [emoji2] [emoji2]


Lodi lofa

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo umefanya asubuhi iwe ya furaha kwangu, kwahiyo hata shangazi hupokei
 
Hello friends, habari zenu,
Ninataka kuja dar lakin niliweka tangazo Jana , jf habari Na hoja mchanganyiko kuwa nataka kuja DSM sina wa kunipokea,

Ila kupitia ushauri wa ndugu Na jamaa Na wazazi ikabidi kwanza niwajue watu wa ngara Kagera waishio DSM, ili wanijue tutambulishane,

Mimi natokea kwa mzee bitwale wa ngara rusaga, lakin mimekulia Rwanda,


Karibu,
Naww mbona hueleweki ?sisi watu wadar tumekwambia njooo Nanaukiyakotu .umesikiluza ushauri wawazee him jf kunawahenga pia usipende kusikiliza ushauri wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usawa huu kweli kuna wa kukaribisha wageni wasio na umuhimu? Unafata nini Dsm kama pa kufikia tu huna? Nakushauri upambane na hali yako tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

My own brand!!
 
Hello friends, habari zenu,
Ninataka kuja dar lakin niliweka tangazo Jana , jf habari Na hoja mchanganyiko kuwa nataka kuja DSM sina wa kunipokea,

Ila kupitia ushauri wa ndugu Na jamaa Na wazazi ikabidi kwanza niwajue watu wa ngara Kagera waishio DSM, ili wanijue tutambulishane,

Mimi natokea kwa mzee bitwale wa ngara rusaga, lakin mimekulia Rwanda,


Karibu,
Njoo pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuulize kitu umeshawahi kuishi Kahama au kukaa hapo kwa muda hata wa one month
 
TAHADHARI:

Huyu mtoa mada ni muongo! fuatilieni comments sake kwenye thread zinazohusu "Rwanda vs Tz" hasa kwenye sehemu nyeti ya kuwekwa majasusi!
Hua anqjifanya mkazi wa Ngara na sometimes anaropoka kwamba yuko Kigali..na ukimchunguza zaidi ni Mwanaume na si Mwanamke!

Kuweni macho! takataka za kagame hizi! RIP Mtikila!
 
Hahaha!!!!, wanaume wa dar bn,vituko ving kila mwanamke mnataka nyie tu mle,mtakula majini sku moja
 
TAHADHARI:

Huyu mtoa mada ni muongo! fuatilieni comments sake kwenye thread zinazohusu "Rwanda vs Tz" hasa kwenye sehemu nyeti ya kuwekwa majasusi!
Hua anqjifanya mkazi wa Ngara na sometimes anaropoka kwamba yuko Kigali..na ukimchunguza zaidi ni Mwanaume na si Mwanamke!

Kuweni macho! takataka za kagame hizi! RIP Mtikila!
??????????????? mmmh
System kazini....
 
Hello friends, habari zenu,
Ninataka kuja dar lakin niliweka tangazo Jana , jf habari Na hoja mchanganyiko kuwa nataka kuja DSM sina wa kunipokea,

Ila kupitia ushauri wa ndugu Na jamaa Na wazazi ikabidi kwanza niwajue watu wa ngara Kagera waishio DSM, ili wanijue tutambulishane,

Mimi natokea kwa mzee bitwale wa ngara rusaga, lakin mimekulia Rwanda,


Karibu,
Acha ukabila!
 
Back
Top Bottom