Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Hahaha,nakuaminia[emoji23][emoji23]io device ni kibokoNilifunga device ambayo ukisimamisha na mtu ina ni alert kuwa binamu huko anapigwa mistari ndomana huwa nakuja mbio usiibiwe
Hahaha,nakuaminia[emoji23][emoji23]io device ni kibokoNilifunga device ambayo ukisimamisha na mtu ina ni alert kuwa binamu huko anapigwa mistari ndomana huwa nakuja mbio usiibiwe
Kumbee!!basi itakua muongo ananibeep mm tuTabia ya watu waongo wepesi sana kuapia
hahaha yaan nakwambiaga kila siku shemeji kitendo cha kushindwa ntumia salio tigo pesa kinakucost sana maana dada hutompata[emoji2] [emoji2]Huyu binamu muhuni... So wa kupigana... Ni wa kumchapa tu.... Mara nimtumie pesa kwenye tigo pesa mara anataka kula mpaka ashibe.... Ndo nikamuita Shem mnyatiaji.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ukishindwa ita mtu akubustie mkuu kuepusha usumbufuKuna magari switch zimekufa kabisa, utasukuma weeee mpaka basi, kama dereva nikichoka naondoka zangu potelea mbali
[emoji28][emoji1]binamu unajiamini eee,tatizo lako unapenda vizawad sanaWao sio mie maana mie sipo kwenye ushindani nilishatolewa ni mchezaji wa rizevu akiumia mchezaji basi naingia mie kukava nafasi
Nimekuaga....uchumba siri... Ndoa inatangazwa[emoji23]Basi nyote mnakosa
ww si ndo ulinikataza binamu ukaniambia nisiendelee kupokea zawadiisasa kwanini umewapa stop,ungeendelea binam kupokea,tangu lini zawad zikakataliwa
3fiya,kale ushibe,niwache apa na binamu,ila ntahakikisha zawadi simpiBasi mi nakuamini.... Naenda kula..
Msikilize lakini usimwamini
hahaha hilo umeliongeza ww ila kwenye sifa hata za unafki simoTabia ya watu waongo wepesi sana kuapia
[emoji23][emoji111]hahaha yaan nakwambiaga kila siku shemeji kitendo cha kushindwa ntumia salio tigo pesa kinakucost sana maana dada hutompata[emoji2] [emoji2]
Umemwona.... "Pungo usintizame mwenzio nimechilimu" ndo Binamuukiniruhusu ntaanza kupokea maana wako folenii
Pokea tu binamu,mbn mm nagawa zawad hukuww si ndo ulinikataza binamu ukaniambia nisiendelee kupokea zawadii
yaan staki uibiwe binamu bora kivunde ila si kwa kuibiwa na watu kama bwana shemejii[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hahaha,nakuaminia[emoji23][emoji23]io device ni kiboko
hapana dada mie mkweli kabisa na siwezi ongopaKumbee!!basi itakua muongo ananibeep mm tu
Teh teh teh teh teh teh teh teh tehNilifunga device ambayo ukisimamisha na mtu ina ni alert kuwa binamu huko anapigwa mistari ndomana huwa nakuja mbio usiibiwe
[emoji28][emoji1]Muache kashazoea uyoUmemwona.... "Pungo usintizame mwenzio nimechilimu" ndo Binamu
Bwana shemej yupo makini naonayaan staki uibiwe binamu bora kivunde ila si kwa kuibiwa na watu kama bwana shemejii[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Sasa binamu vizawadi huwa vinakujaga tu mie walaaa siviuliziii[emoji28][emoji1]binamu unajiamini eee,tatizo lako unapenda vizawad sana
[emoji41]hapana dada mie mkweli kabisa na siwezi ongopa
[emoji41]Hmmm unann sasa cha ziada kila siku zawad ww tuSasa binamu vizawadi huwa vinakujaga tu mie walaaa siviuliziii