jambo msilojua watanzania hadi mnatapeliwa ni kuwa tapeli akileta utapeli anatokea tapeli mwenzake au yule yule kwa id tofauti na kusema yeye amefanikiwa ili kuwapa nyie imani muone kumbe kuna watu wamepata
Hapo sasa ndio unachinjwa vizuri sasa,Amkeni fanyeni kazi,wabiashara afanye na wa kufuga afuge hakuna mambo ya kirahisi rahisi