ni kweli kila binadamu kaubwa tofauti labda tusaidie mna muda gani wa ndoa?Acha tu nimpendee Hakuna kama yeye
Na iwe hivyo kama ulivyonena!Haiwezekani aisee ,amini Nakuambia Nna roho ngumu mimi Hakuna utaniona milele kama sijakufa
mhn! kwanini? na itakuwa hivyo kwa muda gani?Ni mapenzi tu Hakuna ndoa
Mbona unampiga biti kama vile mdogo wako?! Muache afaidi kupendwaTulia akupige mimba uzae upauke ubaki singo maza ndo utajua kama anakupenda ama laa
Nipo humu, unataka kunisalimia?Hongera sana kwa kupendwa love! Hakuna kitu unajisikia raha kama kupendwa
Btw shemeji yupo humu au??? Kama yupo humu nina imani message sent and delivered
Waooooohhhhh shemeji yangu popote ulipo naomba huu upendo uendelee kuwepo kwa Dinazarde na ninawaombea kwa Mungu mahusiano yenu yafike mbaliYupo humu anasoma
Jamani napendwa mimi nnaringa kama mme wangu ananipenda hivi nahisi jf tunaimiliki sisi, Nakupenda we mwanaume unanipenda Sana, Acha niseme Hakuna mwanaume anaenipa faraja na furaha Kama wewe ,Najua Nishakuambia Kila kitu kuhusu mimi na mti wenye matunda ndio hupigwa mawe
Oneni hizi missed call
Napendwa mie Kwa mara ya pili napendwa naupokea upendo baba Kwa mikono miwili
Nakupenda sana
Tuone picha ya hivyo zaidiNi zaidi ya hivyo
Kumbe wewe ndo shemeji??? Nilitaka kukusalimia tu shem laoNipo humu, unataka kunisalimia?