Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,280
- 4,626
Unatupa ujumbe gani mmama...tukupe pesa?Wakuu, husika na kichwa cha uzi.
Siku hizi ninapenda pesa sanaaaa yaaani nikiikosa nahisi kuchanganyikiwa kabisa. Kama ni watoto nitawafokea kwa vitu vidogo vidogo na ninaweza nisielewane na wengine kabisa kwa sababu ya kukosa pesa..
Ila nikiipata sasa.. weweeee😋😋😋 nakua nna mahabah hatari na kisirani na gubu vyote vinaisha..
*nimeamini kweli pesa sabuni ya roho *
Sio kwamba unapenda pesa bali una stressWakuu, husika na kichwa cha uzi.
Siku hizi ninapenda pesa sanaaaa yaaani nikiikosa nahisi kuchanganyikiwa kabisa. Kama ni watoto nitawafokea kwa vitu vidogo vidogo na ninaweza nisielewane na wengine kabisa kwa sababu ya kukosa pesa..
Ila nikiipata sasa.. weweeee😋😋😋 nakua nna mahabah hatari na kisirani na gubu vyote vinaisha..
*nimeamini kweli pesa sabuni ya roho *
Wewe tushakuzoea bwana mzee wa totoz😂Naona sasa umeelewa kwa nini wanaume tukipata oesa tunaanza kutafuta pisi kali
Alaaah..Uzee unakuandama.
Kwani ni dhambi kaka mzuri?Unatupa ujumbe gani mmama...tukupe pesa?
Za pesa..Sio kwamba unapenda pesa bali una stress
Ndio hapo sasa.Sidhani kama kuna mtu anachukia pesa..
Vicoba vikija kupata tiba ndio itakua mwisho wa changamoto za wanawake...Vicoba vinakutesa.
Kwani pesa ukiipata unaitumia kufanya nini?
Kwani wewe pesa unaitumiaje?Vicoba vikija kupata tiba ndio itakua mwisho wa changamoto za wanawake...
Kuiangalia tu..
Kwa hiyo wanaume wapenda pesa huitwaje?Unaelekea kuwa kahaba
Mimi kwenye tigo tu naweza kukupa hadi dollars elfu 25 ila uwe nachura tuKwani ni dhambi kaka mzuri?
Nawa zoom tu hapa wanavyojishaua😂Sidhani kama kuna mtu anachukia pesa..
Kwa matumizi..Kwani wewe pesa unaitumiaje?
Ukute mleta mada ni mpwayungu village anatuchora tu.Wakuu, husika na kichwa cha uzi.