Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

Ni PM nikupe kibarua cha kulima kama upo Dar,mambo yakuomba usaidiwe pesa bure hayapo siku hizi ,wakati wa likizo unatakiwa kutafuta kibarua chochote hata cha kulima badala ya kutwa kukaa kushabikia Diamond au Chadema /CCM
aisee
 
Yaani uwezo wa kuendelea hapo ulipo huna?!
Then uwezi kuhama ? U r not serious!
Dar kuna shule nyingi nzuri tu za bei ya chini, km una nia ya kusoma tafuta shule yenye gharama nafuu hizo za mamilioni waachie wenye uwezo ww ndo umrishia hapo ,hama!
 
Tatizo lako ujuaji mwingi
Weka majina yako kamili
Shule unayosoma
Jina la mlezi wako na mawasiliano
Jina la mwalimu mkuu na mawasiliano

Panga vizuri weka maelezo kule juu
Kwa hili sakata linaloendelea humu hutapata msaada wowote zaidi ya kuchatishwa na wavulana wa humu.
Na wanavyopenda vya bure watakuja Pm wapate kukula kwa kisingizio cha ada kuwa makini sana.
 
Back
Top Bottom