Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

Tatizo lako ujuaji mwingi
Weka majina yako kamili
Shule unayosoma
Jina la mlezi wako na mawasiliano
Jina la mwalimu mkuu na mawasiliano

Panga vizuri weka maelezo kule juu
Kwa hili sakata linaloendelea humu hutapata msaada wowote zaidi ya kuchatishwa na wavulana wa humu.
Na wanavyopenda vya bure watakuja Pm wapate kukula kwa kisingizio cha ada kuwa makini sana.
kweli wewe ni mzazi, ahsante kwa kumtahadharisha mapema, la sivyo kama ni mtoto kweli hachomoki leo
 
Ila nadhani wazo zuri ni kutafuta shule ambayo utamudu gharama zake maana kama una juhudi za kusoma .. haijalishi upo private au gvt lazima ufaulu tu .....
 
Back
Top Bottom