Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

Nipo hapa Boko!
Shule unayo soma inaitwaje?
Jina la shuleni ni lipi?
Niandikie hata chemba maswali haya kesho nije hapo shuleni kwako!
Mm kama mzazi nitakuunga mkono pale ninapo weza!
Nasubiri majibu
Hope and joy nishasema
 
Sasa kumbe una familia kabisa na unasema itajitahidi, kwanini isijitahidi sasa? Waliwezaje miaka 2 iliyopita washindwe sasa? Walithubutuje kukupeleka shule ya gharama hiyo ikiwa uwezo haupo? Unajua maana ya msaada na tafsiri ya mtu anayehitaji kusaidiwa bado ni tatizo kubwa kwa wengi. Kwanza unasaidiwaje ikiwa unaficha taarifa zako. Wewe ni nani? Unasoma shule gani? Uthibitisho wa kuwa umeshindwa kulipa ada ni upi? Hebu muache uhuni, mfanye kazi[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Huna nia ya kunisaidia
 
Details zote ulizoziandika nishazisema
 
Angalia kote vizur
 
Kupata msaada wa 2.4*2 ni ngumu
Muda wa kuhamia gov upo kazi kwako kukubali
 
Sasa kumbe una familia kabisa na unasema itajitahidi, kwanini isijitahidi sasa? Waliwezaje miaka 2 iliyopita washindwe sasa? Walithubutuje kukupeleka shule ya gharama hiyo ikiwa uwezo haupo? Unajua maana ya msaada na tafsiri ya mtu anayehitaji kusaidiwa bado ni tatizo kubwa kwa wengi. Kwanza unasaidiwaje ikiwa unaficha taarifa zako. Wewe ni nani? Unasoma shule gani? Uthibitisho wa kuwa umeshindwa kulipa ada ni upi? Hebu muache uhuni, mfanye kazi[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nitajitahid kwa kuwa nikimalixa form four nitakuwa na muda wa kutosha si kama sasa
 
Tena nakuona online lakini hujibu maswali.

NB
Kumbuka yuko kidato cha 3 na anauwezo wa kuwa JF with smart phone then anatafuta ada.

Anyway....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kidato cha 3
Anamiliki smartphone
Yupo jf
 
Back
Top Bottom