Wewe binti mbona jeuri weye!!povu linakutoka.Ebu mrudishie shemeji yako PC yake.
Mimi na wewe nani binti, Mr ulijitokeza hadhalani nakusema unamzimia mwanaume mwenzio ili akufanye nini?
nilidhani umelala
kumbe upo
malizana naye
nilitaka kuinunua kesi
Ninamzimia invisible kwasababu zifuatazo:-
1..,
2..,
3...,
N.K
Mimi na wewe nani binti, Mr ulijitokeza hadhalani nakusema unamzimia mwanaume mwenzio ili akufanye nini?
We ni gay?
Au unamzimikia kishkaji?
Jana katika thread yangu ya "wazee mji Jf na wenye matatizo ya Ubaridi kichwani"
wewe ulikua mmojawapo uliyoniambia mie mwehu ! Kumbe ulikua na maana kinyume chake ? Wenye mtindio tuliokua tukiwatafuta ndy kama wenye vitu kama hivi !
Hongera umeshasajiliwa !
Hata wewe pia nakupenda na daily lazima ni active mozilla-firefoxy kupitia kwako.