tzhosts
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 380
- 468
Shell yako ikoje?iko wapi?ina nini zaidi ya kuuza mafuta.Unauza lita ngapi kwa siku?target yako ni lita ngapi kwa siku?Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta. Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu maana hawakodi magari Bali wana magari yao yakuwabebea mafuta pindi waendapo nunua mafuta katika madepot ya jumla. Sasa wakuu nin nifanye kuongeza mauzo ktk Hali hii