Ninamiliki kituo Cha mafuta, mshindani wangu anauza Sana kuliko mimi. Nini nikifanye kuongeza mauzo na wateja

Fanya yafuatayo

Ajiri wauzaji wanawake wenye misambwanda (wenye bar zao sio wajinga)

Biashara ni game of psychology.

Badili muonekano wa kituo chako paka paka marangi au fanya hiki na kile kionekane kituo Safi na salama na kinachovutia

Toa bonasi siku moja kwa wiki wakiinyaka hio watakuwa wanaivizia kila siku watakuja .

Ongeza mabango kueonyesha uelekeo wa kituo chako kilipo

Hakikisha chenji zinakuwepo ili mteja akija asikae sana anapewa huduma na kusepa fasta

Ongeza bidhaa Kama vilainishi kwa magari na piki piki hii itafanya kituo chako kujitosheleza

Mazingira Safi ni muhimu

Wafundishe wahudumu kutoa huduma kwa tabasabu moyo ulifunguka sio kununanuna na makasiriko huku misambwanda yao ikiwasindikizia (anasbo na mrangi hawatokosa hapo kujaza mafuta magari yao)

Huna haja ya kwenda kwa mganga utajifutia mabalaa .

Kama hao washindani wako wanatumia ushirikina ni swala la muda tu ukifanya haya nayokuuambia uchawi wao utaexpire vibaya Sana

Lenga kujitanua ,kukuza mtaji,ili uwe na nyezo zako za kutosha Kama magari ya kubeba mafuta

Halafu Kama unaona vipi ni heri ujifunze namna ya kufanya lobbying kwa madereva na bodaboda kuliko kwenda kwa waganga

Umenisikia!!?
 
Angalia majirani wanauza Lita moko tsh ngapi, yaani wanauza Bei sawa na she'll yako au wao wanauza pungufu, Kama pungufu nawe punguza bei hata kwa tsh 10 maana naona sheli nyingi ambazo mafuta yao Bei Nadu Wana wateja wengi Kama GBP, lake oil na nk., Pia week huduma za ziada Kama upepo iwe bure
Mkuu minimmiliki kituo binafsi..GBP, lake nimakampuni yenye vibali vyakuingiza mafuta kwaiyo wananufaika kwanza kwenye Bei anaweza panga Bei chini ya Bei elekezi sababu kwanza ye niimporter kwaiyo huwezi kushindana nae kwenye Bei ukishusha yeatashusha Zaid namatokeo yake we hata hio faida unaweza usiipate au ikawa kidgo sanaa
 
Uuzaji wa receipt ndo upi..WMA walitupa mitungu iliyofanyiwa calibration kwa ajili yakuhakiki kipimo wakat wowote so hiko kipimo ndo kitakufanya ujue mafuta yanazid kwa mteja au yanapungua unampunja yaan kipimo pampu inazidisha au inapunguza
Hao hao pump attendants ndo mchezo wao.

Linakuja gari la kampuni kuweka Diesel mfano ya laki 2 lkn wanawaomba wawape ya 150,000 ila receipt iwe ya laki 2.

Huko kwingine jijazie msala unakuwa wapi.
 
Hao hao pump attendants ndo mchezo wao.

Linakuja gari la kampuni kuweka Diesel mfano ya laki 2 lkn wanawaomba wawape ya 150,000 ila receipt iwe ya laki 2.

Huko kwingine jijazie msala unakuwa wapi.
Hiyo kitu haiwezekani maana machine ni automatic imeunganishwa napampu yaan mafuta hayawezi toka bila mfumo wa risiti mfumo wa risiti ukizingua mafuta hayatoki..
 
mafuta ya magari huwa wanachanganya na vilipuzi.sasa kama mafuta yamewekewa kilipuzi kwa kiasi kidg mafuta yana isha kwa haraka sana.sasa sisi wateja tuna jua sheli ipi mafuta yake hayaishi haraka.

pia jaribu kushusha bei kidg ulingane na mzee wa lake oil

pia chunguza madereva wanaokuletea mafuta.kuna case moja ilishawahi tokea walikua wanachanganya na maji kwenye section moja ya tank then wakimwaga ilikua sio rahisi nan alichanganya

pia boresha muonekano wa shell yako ikiwaka inajitangaza yenyew .

pia wafanyakazi usafi wa mavazi lugha na akili.hamna mtu apendi kuhudumiwa na watu wasafi akili ,mavazi na lugha

pia sali sana ,muombe sana mungu

mwisho ridhika na upatacho,usijifananishe kama ulivyosema awali kua wao ni wafanya biashara wakubwa kuliko ww .huenda wamekuzid mbinu za biahshara pia labda walijitengenezea wateja wakudumu.kwahiyo ww unatakiwa ujiangaishe zaid mbinu za kuwaibia wateja mu balance ecosytem

pia unaweza niajiri mm niwe afisa masoko wako ila sina cheti nina expirience tukaribu pm mkuu

swali?

sheli zako zote zimeshuka na ulizo zifungua karibuni au ni hiyo tu iliokaribiana na mabepali
 
Mim Nina moja Ila mabepari ndio wamefungua yaan zimeongezeka mbili zamabepari
 
Unataka ushauri gani? Umeshasema kuna vituo vya mafuta vimeongezeka ktk eneo lako. Si hapo tayari mmegawana wateja, hivyo lazima wapungue..

Basi nenda Ngende . Upewe Mizimu
 
Mim Nina moja Ila mabepari ndio wamefungua yaan zimeongezeka mbili zamabepari
Location yenu ipo wap

1.katikati ya mji
2.karibu na stand
3.au iko pembezoni
4.au ni wilaya inayo kua
5.pia mauzo yameanza kushuka lini
yameporomoka lini

location yako ndo inakupa mbinu za kivita.biashara ni vita ya kupoteza na kupata.

pia kama unakijana mkubwa mkubwa unashilikisha.then unamuweka field uku uki m coach .wana mawazo mazuri sana.mm biashara yangu na shirikiana na mwanangu wa miaka 10.
ananipa mawazo ya mibaraka sana na aniombea natembelea nyota yake

umesema ww ni mzoefu wa hio biashara labda umekomalia mbinu ulizokua unatumia miaka ya kikwete uko kama sio mkapa.ebu jaribu ku upgrade kidg mbinu za biashara yako..ndo maana hata simu usipo upgrade os ina misbehave.Angalia mzizi watatizo nini.ukishaujua una shawin.
 
...Shida moja kubwa Ni kwamba unaowaomba ushauri humu wengi wao hata biasharaa za million 9 wanazisoma kwenye threads. Wewe mwenyewe na wasiwasi kama una kituo cha mafuta kweli.. naona mengi kwenye game hujayajua"
Joke tu😊
Haujui sisi ndiyo wateja tunachagua huduma flani😀
 
Khaa wee upunguze Mia mzee kwenye gari ya lita 40000 upunguze Mia Mia nishingap kwa hizo Lita maana ake utakua umejipunguzia faida ya tsh 4000000.
Unapunguza halafu unasetiwa pampu hizo mzee unakuwa unawaibia wateja.
 
Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta. Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu maana hawakodi magari Bali wana magari yao yakuwabebea mafuta pindi waendapo nunua mafuta katika madepot ya jumla. Sasa wakuu nin nifanye kuongeza mauzo ktk Hali hii
WAPE COMMISSION WAMILIKI WA DALADALA NA MALORI WANAOWEKA MAFUNTA HAPO KILA SIKU MUHIMU WATUNZE RISITI TU MFANO KAMA MMILIKI WA DALADALA AMEWEKA MAFUTA MWEZI MZIMA KWAKO NA AMEKULETEA RISITI KUTHIBITISHA HILO BADI BONUS YA JUU NI ELFU 50 NA KUSHUKA CHINI HIVYO HIVYO KWA MALORI KULINGANA NA GHARAMA ALIZOTUMIA KUJAZA MAFUTA HAPO UNARUDISHA COMMISION KWA WAMILIKI KAMA ASANTE NA KARIBU TENA HAKUNA ATAYEKUHAMA HAPO..
 
Mikakati
  • Shusha bei hata kwa shilingi 5
  • Toa huduma kwa haraka
  • Tumia mabinti wenye mvuto na wanaotabasamu muda wote na wavae nguo zinazobana
Namba moja itakula kwake wenzake wana magari yeye anakodi akishusha 5 wana uwezo wa kushusha mpaka 15 na bado wakawa fit.. Sishauri
 
Back
Top Bottom