malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,780
- 2,716
- Thread starter
-
- #21
Calibration nafanya kila wiki vipimo vyangu vinakua sawa kabisa..kwangu nikosa kumuibia mtejaKupiga shoti wateja kwenye mafuta aisee ni mbaya sana.
Fanya callibration ya pumps zako mara kwa mara kuepusha hili.
Pump attendants wawekee commission kulingana na litres wanazouza. Anzia hata lita moja wataongeza bidii.
Kigezo gani umezingatia ili kumuongezea pump atendat bonusKupiga shoti wateja kwenye mafuta aisee ni mbaya sana.
Fanya callibration ya pumps zako mara kwa mara kuepusha hili.
Pump attendants wawekee commission kulingana na litres wanazouza. Anzia hata lita moja wataongeza bidii.
Usifanye mashindano bali boresha huduma zako na kila kukipmbazuka usiache kumwaga chumvi eneo lote hasa maingilioWakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta. Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu maana hawakodi magari Bali wana magari yao yakuwabebea mafuta pindi waendapo nunua mafuta katika madepot ya jumla. Sasa wakuu nin nifanye kuongeza mauzo ktk Hali hii
Wakati anaingia shift si mita zinasomwa na wakati anatoka?Kigezo gani umezingatia ili kumuongezea pump atendat bonus
WMA hawacheki. Pump ikibana mafuta fine yake ni kubwa sana.Calibration nafanya kila wiki vipimo vyangu vinakua sawa kabisa..kwangu nikosa kumuibia mteja
A successful businessman haji mitandaoni kulialiaWakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta. Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu maana hawakodi magari Bali wana magari yao yakuwabebea mafuta pindi waendapo nunua mafuta katika madepot ya jumla. Sasa wakuu nin nifanye kuongeza mauzo ktk Hali hii
Wako busy na #MboweSioGaidi...Shida moja kubwa Ni kwamba unaowaomba ushauri humu wengi wao hata biasharaa za million 9 wanazisoma kwenye threads. Wewe mwenyewe na wasiwasi kama una kituo cha mafuta kweli.. naona mengi kwenye game hujayajua"
Joke tu😊
Yes ni kweliMkuu kwenye discount natoa kwa bulk mwenye Lita nying at least kuanzia100 maana petrol siunajua inaevaporation nihewa Ile huwa inapotea
Hivi ni lazima uuze kwa bonus nzuri hata kama hakuna ulazima ku boost sales? Asambaze zabuni kwa mashirika wawe wanachukua mafuta kwake, kuna katabia madereva wengi huwa wanaenda kituo cha mafuta palipo na wateja wengiToa bonus nzuri kwa drivers wa hiace.pia yawezekana Ile ya kwanza inakimbia upepo baadaye ndo mafuta yanakuja. Drivers huwa ni wajanja kujua Kama unaiba ama la.
Biashara za kununua na kuuza zina changamoto sana, ukiringanisha na biashara za kutengeneza na kuuzaZaman nilijua biashara ya mafuta ni kamserereko, kumbe hamna pesa rahis aisee
Nyota ya sheitwani mwana wa ibilisi.Nyota ya jaha ndo ipi
We mshauri tu hapo aajiri hao comedian aje kuisha kizembesasa ajiri vijana ambaoni zaidi ya comedy
hao watu wapo wengi ni wewe tu kuwatafuta cha msingi ukiwapata walipe vinzuri