Ninamiliki kituo Cha mafuta, mshindani wangu anauza Sana kuliko mimi. Nini nikifanye kuongeza mauzo na wateja

Kupiga shoti wateja kwenye mafuta aisee ni mbaya sana.

Fanya callibration ya pumps zako mara kwa mara kuepusha hili.

Pump attendants wawekee commission kulingana na litres wanazouza. Anzia hata lita moja wataongeza bidii.
Calibration nafanya kila wiki vipimo vyangu vinakua sawa kabisa..kwangu nikosa kumuibia mteja
 
Kigezo gani umezingatia ili kumuongezea pump atendat bonus
 
Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta. Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu maana hawakodi magari Bali wana magari yao yakuwabebea mafuta pindi waendapo nunua mafuta katika madepot ya jumla. Sasa wakuu nin nifanye kuongeza mauzo ktk Hali hii
Usifanye mashindano bali boresha huduma zako na kila kukipmbazuka usiache kumwaga chumvi eneo lote hasa maingilio
 
Calibration nafanya kila wiki vipimo vyangu vinakua sawa kabisa..kwangu nikosa kumuibia mteja
WMA hawacheki. Pump ikibana mafuta fine yake ni kubwa sana.

Weka kituo nadhifu, weka zawadi wa wateja ambao ni loyal.

Epuka sana uuzaji wa receipts na hili wanapenda sana madereva wa makampuni na daladala.

Ni ugonjwa hasa kwenye masheli.

All the best.
 
Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta. Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu maana hawakodi magari Bali wana magari yao yakuwabebea mafuta pindi waendapo nunua mafuta katika madepot ya jumla. Sasa wakuu nin nifanye kuongeza mauzo ktk Hali hii
A successful businessman haji mitandaoni kulialia

It seems either huna kituo cha mafuta au ulikipata bahati mbaya
 
...Shida moja kubwa Ni kwamba unaowaomba ushauri humu wengi wao hata biasharaa za million 9 wanazisoma kwenye threads. Wewe mwenyewe na wasiwasi kama una kituo cha mafuta kweli.. naona mengi kwenye game hujayajua"
Joke tu😊
Wako busy na #MboweSioGaidi
 
new billionea in town..... biashara ya mafuta ukiifanya automatically wew ni billionea, no matter what's the challenges facing u
 
Angalia majirani wanauza Lita moko tsh ngapi, yaani wanauza Bei sawa na she'll yako au wao wanauza pungufu, Kama pungufu nawe punguza bei hata kwa tsh 10 maana naona sheli nyingi ambazo mafuta yao Bei Nadu Wana wateja wengi Kama GBP, lake oil na nk., Pia week huduma za ziada Kama upepo iwe bure
 
Toa bonus nzuri kwa drivers wa hiace.pia yawezekana Ile ya kwanza inakimbia upepo baadaye ndo mafuta yanakuja. Drivers huwa ni wajanja kujua Kama unaiba ama la.
Hivi ni lazima uuze kwa bonus nzuri hata kama hakuna ulazima ku boost sales? Asambaze zabuni kwa mashirika wawe wanachukua mafuta kwake, kuna katabia madereva wengi huwa wanaenda kituo cha mafuta palipo na wateja wengi
 
though sina experiene ya io bjashara ila naweza kushauri yafuatayo kulingana na uzoefu

sheri nyingi zinachakachua mafuta na zinajulikana cz husababisha gari kumiss behave na watumiaji yaani wateja hupeana taarifa kulingana na ubora wa huduma chunguza vzur perfomance ya wafanya kaz wako na huduma unayotoa ndio tunajua kuna some addictives mnaweza cz ya kuboost octane ila isiwe too much

Second jarbu kutafta kijana aliechangamka na mwenye ushawishi anaeweza kufanyia marketing na branding ya kituo chako ktk watumiaji wenye uhitaji mkubwa wa io huduma hapa n itategemea na mahala kituo kilipo

talking from experince niko ktk timu za magari such team tezza team subaru team landcruizer kwa hapa dar hawa watu huwa wanakuwa na events kibao kuna baadhi ya vituo huwatumia ktk events zao kuweka kujikuza na wana faida mno maana familia zao zina watu wengi na wanaaminiana ktk taarifa wanazopeana

third ndo io jarbu kuweka huduma za ziada na wataalamu ktk izo huduma kwa mfano oil km nafasi na uwezo upo weka car wash kdgo na service ndgo ndgo za kuweza kumpa ushawishi mteja pale anapofika kwko. utaalamu hapo nazungumzia mtu anaeyajua magari indeed anaeweza washauri watu au kuwapa link ktk kitu asichokijua kwa watu sahihi trust me lazma ukue tu hata ktk fitina we fanya uboreshaji wa huduma kuna muda fitina zitashndwa ubora wa huduma utarun busnness

All da best kiongozi yangu n hayo tu japo nna ya ziada ila kutype nako shida waweke option ya audio😂😂
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom