Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
Haya bwana kila la kheri 'Kamanda', hope utarudi salama.
hayo ni mafunzo gani ya kijeshi ya wiki tatu!!! huna haja ya kutuaga we nenda tu hiyo ni mipango yako na ujifunze jinsi kutumia na kuifazi Bastola vizuri.
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
Kwanza nikukumbushe kuwa wewe siyo kijana, PILI nenda JKT labda utaweza kufumbuliwa macho upate uzalendo ndo ufahamu kuwa CCM ni chama kisichotufaa hata kidogo ktk nchi hii na chapaswa kufutwa ktk ramani ya siasa. TATU labda utajifunza kuongea kwa hoja badala kutukana matusi yalokujaa mdomoni.
Lakini kubwa kuliko yote ni kuwa JASIRI HAACHI ASILI. Utabaki yule yule kwani mbwa mzee hawezi kufundishwa mbinu mpya! He is btn 35-37 mzee Huyu?
Wiki 3 hadi miezi mitatu!!? Mtakuwa mmejifunza nini sasa!Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
Kwanza nikukumbushe kuwa wewe siyo kijana, PILI nenda JKT labda utaweza kufumbuliwa macho upate uzalendo ndo ufahamu kuwa CCM ni chama kisichotufaa hata kidogo ktk nchi hii na chapaswa kufutwa ktk ramani ya siasa. TATU labda utajifunza kuongea kwa hoja badala kutukana matusi yalokujaa mdomoni.
Lakini kubwa kuliko yote ni kuwa JASIRI HAACHI ASILI. Utabaki yule yule kwani mbwa mzee hawezi kufundishwa mbinu mpya! He is btn 35-37 mzee Huyu?
Wacha matusi. Jenga hoja. Moderator fungia huyu mtu, hana adabu hata kidogo.
Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
Mkuu Pasco, si wote wanaobadilika positively.Mkuu Mwigulu Mchemba,
Kwanza hongera kwa ujasiri na kujitoa kwenda JKT ambayo naamini itakusaidia sana ku inject true sense in your little brain!. Mtu akiisoma CV yako, iko very impressive, inaonyesha you are a bright na brilliant young man, ila akikusikiliza when you talk shit!, you real looks like shit, and that puts me off!.
Hivyo sasa tumia fursa hii ya JKT, to learn humility ambayo ita inject a little sense in your little brain that has been missing all along na kuwa not little brain anymore but a big brain!, na ukitoka utajikuta sio tuu umebadilika, bali utaisaidia vizuri zaidi CCM sio tuu kushinda kwa kishindo uchaguzi wa 2015, bali pia CCM kushinda kwa haki!.
All the best!.
Pasco (wa jf).