😊😊😊Hahahaha, samahani Mkuu
MTC | 101| [emoji769]
Acha uvivu buni la Kwako....
Dang! Umenidaka...but I do.
I hope yours is as good as that...
Dili lishabuma naona, maana nilitaka nilitumie kwako.
Dah.
Hahahaha ,ni yabaridi lkn KaribuHaionyeshi ikitoka jasho....
Endelea isije kupoa
Hahahaha ,ni yabaridi lkn Karibu
Fanya uje na zuri zaidi....
Nitajitahidi, ila hili nitalitunza kwa mwanangu wa kike.
It is too good not to be used.
Fanya uje na zuri zaidi....
Muanzie taratibu..aoanishe vina tu kwa kuanzia.
Mfano;
Nashika yangu kalamu, nitume zangu salamu,
kwa anipaye mi hamu, mwingine simfahamu,
bbade wangu salaam, wewe u angu utamu!
Cc: Don Clericuzio
Mnavyopenda mabinti zenu. ...nakuombea
Muanzie taratibu..aoanishe vina tu kwa kuanzia.
Mfano;
Nashika yangu kalamu, nitume zangu salamu,
kwa anipaye mi hamu, mwingine simfahamu,
bbade wangu salaam, wewe u wangu utamu!
Cc: Don Clericuzio
Mi nachojua ni kimoja tu... NIMEKUMISIUnajua huna akili wewe?
hakii vile hunaaaaaaaa!