Kwa hiyo mtu chake kazinguaaa???Relief Mirzska fika huku..ila si kwa sababu ya kupigwa biti!
Wapo wengi tu, au huwa hawamaanishi??Nani asiyependa kuona mpenzi wake anajivunia hadharani jamani?
HahahahaHuyu ndo yule wa verossa sio?
HahahahaRelief Mirzska fika huku..ila si kwa sababu ya kupigwa biti!
Hahahaha, Mkuu hebu acha banaKwa hiyo mtu chake kazinguaaa???
Nani asiyependa kuona mpenzi wake anajivunia hadharani jamani?
Umeandika kwa hisia sana inaonekanaWengine tunapendwa tunafichwa fichwa kama sehemu za siri.[emoji16][emoji16]
Hahahaha, Mkuu mambo yenu hayoChangamkia fursa hiyo mkuu!
Hahahaha, ngoja nijaribu bahati"Woga wako ndio umaskini wako." - Wahenga
Mkuu tushayamalizaaa😀😀😀😀Hahahaha, Mkuu hebu acha bana
Mbona wewe na Mentor Mnarushiana mpira?? Ntachkua mzigo mimi muanze kunilaumuHahahaha, Mkuu mambo yenu hayo
Fanya fasta mbona dark angel muelewa??Hahahaha, ngoja nijaribu bahati
Hahahaha, we jamaa wee mchochezi sana ,muache apumzike kdg cc@dark angel wa watuFanya fasta mbona dark angel muelewa??