Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,036
Baby vipaji vinatofautiana..Sio kila mtu mshairi..Usinifanye nikawa mwizi wa kazi za watu bana..
Baby vipaji vinatofautiana..Sio kila mtu mshairi..Usinifanye nikawa mwizi wa kazi za watu bana..
Lord have mercy!!Haionyeshi ikitoka jasho....
Endelea isije kupoa
We jamaa acha uzushi bhana... wenzako wanarusha shairi vimwana vinajipeleka vyenyewe kwenda kughani....Washika mapembe katika ubora wao!
Tulia weee babuWe jamaa acha uzushi bhana... wenzako wanarusha shairi vimwana vinajipeleka vyenyewe kwenda kughani....
Heaven Sent Douta..Hujawahi kufikiria kutoka na Mentor??..Mana ndo sampuli ya wanaume unaowataka..
Hujawahi kumfikiria upande wa pili??Ni rafiki yangu kipenzi...Nampenda sana!
cc: Heaven Sent
Shehe utatuvunjia swaumu shehe...!Huku nikiperuzi na kudadisi ,nyuzi hapa View attachment 1105594
DuuuuuWengine tunapendwa tunafichwa fichwa kama sehemu za siri.[emoji16][emoji16]
Mshika pembe atabaki kushika pembe tu....wakamuaji wataendelea kukamua tuWewe mwenyewe senior expert bachelor...Heri mshika pembe kuna siku atakamua!
Wengine uwe unatuachia na sisi we bazazi.... kizuri mtu hula na nduguze.Ni rafiki yangu kipenzi...Nampenda sana!
cc: Heaven Sent
Sheikh samahani sanaShehe utatuvunjia swaumu shehe...!
Mshika pembe atabaki kushika pembe tu....wakamuaji wataendelea kukamua tu
Hahahaha, Mzee wa VARWashika mapembe katika ubora wao!
"Kila Aguswaye na Penzi Huwa Mshairi" - Plato,
.
.
My dearest Evelyn Salt ,
.
.
.
I LOVE YOU!.
.
I love you like the last meat in the pot,
Yaani ninakupenda kuliko mchaga na noti.
.
.
I love you more than a Public holiday that falls on a Friday,
Yaani ninakupenda kama pilau ambayo nyama zake zilikatwa na Mmasai.
.
.
I love you like summer in California,
Yaani ninakupenda kuliko Mngoni na bamia.
.
.
I love you more than a fat kid loves cake,
Yaani ninakupenda kama mpare na picha ya samaki.
.
.
I love you like Cubans and rhumba,
Yaani ninakupenda kuliko ndizi Bukoba kwangu hutoisoma namba.
.
.
I love you more than twilight,
Yaani ninakupenda kama Msukuma na kalikiti.
.
.
I love you like fish’s dependance on water,
Yaani ninakupenda kuliko Mura na vita.
.
.
I love you more than a woodpecker loves timber,
Yaani ninakupenda kama urojo na Mpemba.
.
.
I love you like Carl loved Ellie,
Yaani ninakupenda kuliko Mjaluo na ngeli.
.
.
And I have to add this hun,
.
.
I love you more than Kanye loves Kanye,
Yaani ninakupenda kama Njugush na Wakavinye.
.
.
Wasalaam,
Mentor.
.
Cc: Kaboom , katoto kazuri bbade Asprin Khantwe Atoto D-Vine Sky Eclat Kasie
“Every heart sings a song, incomplete, until another heart whispers back. Those who wish to sing always find a song. At the touch of a lover, everyone becomes a poet.”
― Plato