Acha tuuCc. Hamisa Mubeto
Teh teh..Huyu jamaa anasababisha balaa kwa wake za watu..Mshaanza kulalamika
Hata wewe nlikuwa nakupendaga sana. Mpk uliponisaliti na kuuvunja moyo wangu.๐๐๐๐๐Babu mbavu zangu
Tupashe kiporo mpendwa na mimi unifungulie uzi jamaniiiHata wewe nlikuwa nakupendaga sana. Mpk uliponisaliti na kuuvunja moyo wangu.
Hahaa nakuzingua tu mkuu,kwani Aspirin anasemaje?Useremala ni hobby yangu mkuu..naipenda sana! Na pia inanipatia kipato.
Hongera mpendwa umejua kuchagua mwanamke smart anajielewa mno.Huyo babu kazeeka na shughuli zote za ukaguzi kaniachia mimi...
Kutokana na komenti zake, inaonekana unaenjoi mkuu, nakuonea wivu tu.Huyu ni wangu siku nyingi mkuu...
Huyu ndo yule wa verossa sio?Huyu ni wangu siku nyingi mkuu...
Ndo na wewe ujielewe nikuchague sasaHongera mpendwa umejua kuchagua mwanamke smart anajielewa mno.
Tatizo una michepuko mingi sikuwezi hata ukinichagua ๐๐๐Ndo na wewe ujielewe nikuchague sasa
Ama kweli kwenye miti hakuna wajenziTatizo una michepuko mingi sikuwezi hata ukinichagua ๐๐๐
Mnakuwa mnatuwekea biti tukitaka kuwafungukia๐๐๐๐Wengine tunapendwa tunafichwa fichwa kama sehemu za siri.
Nani asiyependa kuona mpenzi wake anajivunia hadharani jamani?Mnakuwa mnatuwekea biti tukitaka kuwafungukia