Ninakupenda(I Love YOU)

Ninakupenda(I Love YOU)

I love you more sweet mangii, nnavokupenda sasa hadi nashindwa kuelezea, ila tu mi ni mwenye bahati sana kuwa na wewe....I love u Mentor

Kaboom hebu tuache tulale
Mpendwa mi nilikuwa nakutetea now naonekana mbaya?..Ujue bila mm hata hili shairi lisingeandikwa
 
Mpaka nilie lie ndiyo unakuja kuniweka hadharani kweli?
Nakupenda Mangi [emoji177]
Baby wachawi ni wengi,
wivu ninao pia,

Naogopa kuyaweka wazi, naogopa kuibiwaa,

Kifua cha kuvumilia maumivu sina, acha nibakize mengi moyoni,

Lkn kwa leo, yatosha kusema Nakupenda,

Mimi na wewe, leo, kesho na hata milele...
 
Hii imefuta hadi stress za mshahara kuchelewa.
Sasa sweetheart ungeniambia basi kwamba haunitaji kunisifia hadharani kwa sababu unaogopa kuibiwa. Sasa hapa moyo umetulia.
Ngoja nikuandalie dinner ya nguvu.
 
Asante sana Mpenzi,
Nashukuru kunielewa,
Mwezio dhaifu kusifia,
Ila moyoni nakuaminia,
Pika kitamu tule,
Leo sinta kawia...
 
Bro hili shairi mi ningelikatakata niwatumie watoto hata 5..Mistari yote hiyo kwa msichana mmoja???..

Huu ushairi ni hatari kwa wake za watu..Naomba Khantwe hasipite huku..
Jambazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom