Embu naombeni msemage ukweli hivi haya huwa ni mapenzi ya kweli au tuu watu wanaamua kusifiana, yaana bado nimebaki njia panda kuhusu haya mapenzi ya JF
Leo naombeni mniweke wazi
Teh teh..Hivi Benny yupo?Haha huku tumewasha mishumaa
Sijui hata yuko wapi. Akirudi utamsikia tu na ahadi zake kama mwanasiasaTeh teh..Hivi Benny yupo?
Mimi na Mentor TUNAPENDANAEmbu naombeni msemage ukweli hivi haya huwa ni mapenzi ya kweli au tuu watu wanaamua kusifiana, yaana bado nimebaki njia panda kuhusu haya mapenzi ya JF
Leo naombeni mniweke wazi
Naomba tulog out kwanza hny, baridi is real...Cc: Sweet Manka Evelyn Salt
Muulize MKO WANGAPIWengine tunapendwa tunafichwa fichwa kama sehemu za siri.
Mscheewwww.. japo nimecheka ila pokea sonyoDaaaah!haya mapenzi ni hatari tupu."NAKUPENDA KAMA YANGA NA BAKULI"
Mnaoumia ni nyie wapenzi watazamaji😂Tunaoumia ni sisi mashabiki ujue
Hahahaha, umepewa jibu MkuuEmbu naombeni msemage ukweli hivi haya huwa ni mapenzi ya kweli au tuu watu wanaamua kusifiana, yaana bado nimebaki njia panda kuhusu haya mapenzi ya JF
Leo naombeni mniweke wazi
HahahahaTunaoumia ni sisi mashabiki ujue
Sawa tu kama ndio mmeamua kutufanyia hiviMnaoumia ni nyie wapenzi watazamaji
Kaka hadi wewe?Msimu wa baridi huu karibia Nchi zote ukanda wa Kusini. Kwa hiyo tudanganyane vizuri eeh
...Sijui hata yuko wapi. Akirudi utamsikia tu na ahadi zake kama mwanasiasa
Acha tuu, pengine nipo mwenyewe lakini sina hadhi ya kusifiwa hadharani.Muulize MKO WANGAPI