Ninakulaumu RPC Ramadhani Kingai kwa ushahidi unaoleta utata kwa Taifa

Huna unalojua wewe! Ukamataji Gani ule usiokidhi vigezo vya kisheria? Mtu anakuqmuru TU simamaa au lala chini huku hajajitambulisha kwako hilo ni kosa Kwa mujibu wa pgo! Na jaji haamui kesi Kwa mtazamo wake bali Kwa vifungu vya Sheria vilivyothibitishwa na mashahidi pasi na shaka kuwa vimevunjwa.
Mkamataji, mwandika maelezo, mshitaki na shahidi ni mtu mmoja yaani kingai! Mpaka hapo jaji anaitupa kesi kule jalalani!
Aisee kumbe mifumo ya kipolice ipo vizuri kabisa ila ni uhuni tu wa hawa jamaa...

Kwa kesi hii washanasa.
 
Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali

Je, RPC Kingai hukufahamu kuchanganya Maelezo yako utawafanya mashahidi wanaofuata washindwe wasimamie kitu gani habari za madawa ya kulevya au ugaidi?

Je, RPC Kingai hukufahamu wewe ulitangulizwa mbele ili uonyeshe uwezo wako wa kujenga hoja kama unavyojitanabaisha?

Je, RPC Kingai hukufahamu ushahidi unatolewa kwa kufuata hati ya mashtaka? Kwa uzoefu wako hukujua mahakamani ni moja ya sehemu ngumu sana, Hati ya mashtaka inaelezea ugaidi wewe unaongelea dawa za kulevya?

Je, RPC Kingai hukufahamu kukariri mambo kuna wenyewe, Ni watu wachache wenye uwezo wa kukariri mambo kwa dakika 15 bila kukosea ukiwaambia warudie walichokisema


Je? RPC Kingai hukufahamu kila jambo mahakamani unalotamka linahitaji kifungu cha sheria au maamuzi ya kesi zilizoamuliwa zamani na sio maneno matupu ya kukariri?

Je, RPC Kingai hukujua Sheria ni taaluma sio nguvu na mikwara inayotumika kuhoji watuhumiwa polisi?

Watu wengi wamehoji uwezo wa Polisi hasa wenye vyeo vya juu kusimama mahakamani na kujibu hoja za mawakili wasomi, Mara nyingi Polisi kwa uzoefu wamejiabisha mahakamani aidha kwa kukaa kimya au kujibu Sijui kila kitu

Tunasubiri Maelezo ya RPC Kingai yatakapotumika kumuuliza maswali Yeye mwenyewe, Hakika Itakuwa aibu kubwa sana

We are still waiting
Mtamua kingai, ,na kweli police ambao ni mashahidi kwenye KESI hii wajipange ,ila nilifikili ni vyema SERIKALI ondoa KESI hii Mapema vinginevyo WAFAAAA
 
Kwa ushahidi upi? Huu wa kingai? Utakuwa unaota! Unamfahamu vizuri huyo jaji anayeisikiliza hiyo kesi? Kwa taarifa Yako huyo jaji ni mtu humble mno na hanaga biasness! Jiulize ni kwanini aliruhusu kesi ndogo kusikiliza badala ya kesi ya msingi? Anakwenda kuitupa kesi ya msingi nje na atapata sifa kutoka Kwa wapenda haki wote including majaji na mawakili wa serikali unaowaona humor ndani! Huyu jaji anakwenda kuandika historia Kwa kujifanya mahakama ya haki kuzaliwa upya!
Yashike maneno yako- sitashangaa utasema hajui kiingereza
 
Kunapshwa kuwepo na utashi wa kisiasa ili maaskati wetu wasidhalilike, hawa ni watoto yatima, wasaidiwe mawazo na hasa DPP aondoe kesi maana yanayofuata ni aibu
 
Kunapshwa kuwepo na utashi wa kisiasa ili maaskati wetu wasidhalilike, hawa ni watoto yatima, wasaidiwe mawazo na hasa DPP aondoe kesi maana yanayofuata ni aibu
 
Kwanza yeye mwenyewe ana kasura ka kigaidi kabisa kichwani hewa kabisa RPC mzima haelewi maelezo ya kwenye charge sheet ndio ushahidi wake uwe adduced mahakamani huyu atolewe hapo kinondoni akasimamie kikosi Cha mbwa.
Kwenye Mbwa Hataweza Atakuta Mbwa Wengine Wana Vyeo Vikubwa Kuliko RPC Mbu~Mbu~Mbu
 
Yashike maneno yako- sitashangaa utasema hajui kiingereza
Manka unataabishwa Sana na hiyo lugha! Ona Sasa, kukimbia kwako umande kunavyokucost!HHuo muda ulioupoteza kuishabikia kijani ungeenda tuition ya kiingereza usaidike na Cha kuombea maji!
 
Matumizi makubwa ya nguvu kwa jeshi la polisi yanatokana na uwwezo wao mdogo. Sasa kama RPC ndio anaongea ule utoto, hao anaowaongoza ni wajinga kiasi gani?

Ndio maana watawala inakuwa rahisi kuwaagiza polisi kutenda nje ya sheria, kwani wengi ni wajinga na hawana uwezo wa kuhoji, bali kutii kila kitu ili wapate upendeleo wa kupanda vyeo wajitajirishe kwa rushwa.
Hivi Afande Mroto yeye hajawahi kuhojiwa mahakamani?

Ningependa sana kumsikia akitoa zile fomula zake za "if A = B"!

Na zaidi ya hayo uliyoyaandika hapo juu kuhusu mategemeo ya kunufaika, tatizo kubwa na maudhi mengi yanatokana na ubovu wa CCM, kwa sababu viongozi hawa wa polisi wanayo mategemeo ya uongozi ndani ya chama hicho wanapostaafu.
Hili ndilo tatizo kubwa linalotukabili kama nchi kwa sasa.

Hadi hapo CCM itakapoondolewa madarakani, hapo ndipo tutakapoanza hatua za kutafuta haki kwa wananchi wa taifa hili.
 
Mtamua kingai, ,na kweli police ambao ni mashahidi kwenye KESI hii wajipange ,ila nilifikili ni vyema SERIKALI ondoa KESI hii Mapema vinginevyo WAFAAAA
Shida Iko hapa jaji haangalii shahidi anavyoulizwa maswali ya kumtoa kwenye reli yaani atakachoangalia ni ushahidi wake tu sasa mnambabaisha shahidi eti uliwakamata wanakula supu au wanatembea hiyo inatoa kosa la huyo mtuhimiwa? Yaani mwisho wa kwsi mtashangaa
 
Back
Top Bottom