Ninakodisha solar kit kwa kuanzishia biashara ndogo

PAULN

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
284
500
Wana Jamii Forum wenzangu, Nina solar kit yenye uwezo wa kuzalisha umeme wa watts 500 ambao unatosha kuanzisha Biashara kuonyesha TV, kuchaji simu, kinyozi na hata secretarial services. Kama unataka kukodi hiyo kit tuwasiliane kwa email redsoinvestment@ymail.com au SMS 0778832498. Eneo la Biashara liwe mkoa wa Dar es Salaam au Pwani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom