Ninajuta kwa niliyoyafanya

Ninajuta kwa niliyoyafanya

mbon hamn cha kujuta hapo dada,sema tu life limebana but inabidi kupambana ili lisonge
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 na miezi karibu 9, ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika chuo kimoja hapa Tanzania, sijaolewa na kwa dini mimi ni mkristo wa kuzakliwa na kubatizwa.

Katika maisha yapo mengi ambayo mtu unaweza kuyafanya na baadae ukajutia kwa nini umeyafanya na akili gani imekutuma uyafanye, binafsi najuta kwani nimekuwa mpumbavu kiasi hiki, najuta kwa nini nilifanya haya yote na kwa akili gani ilinituma niyafanye haya, inawezekana May be it was not planned but why I did this?

Nakumbuka nikiwa secondary nilikutana na handsome boy mmoja ambaye namfahamu hadi kwao, sikujua intention yake by then but I think nilikuwa mtoto. huyu mkaka aliniita sehemu mbalimbali nilikubali kuwa nakutana nae and the guy was very decent til now the guy is decent, hakuwahi kunionesha kama ananitaka kimapenzi kwa kipindi chote ambacho nimekuwa naye, alikuwa ananisaidia sana by then na soon b aada ya kuingia chuo, aliniomba tuwe wapenzi, sikukubali wala sikukataa, nilibaki katikatikati ila nilikuwa naendeshwa na mkumbo wa shule sababu sikujua kama ule muda was right for to make a very huge decesion.

Nilikubali baadae lakini nilibadilishwa sana na upepo wa chuo sababu niliwekeza kwenye bata zaidi bila ya kuangalia mbele yangu, baadae niliamua kumkataa kabisa huyu kaka sababu hakuwa karibu na mimi na kingine nilipata watu wengine ambao walikuwa karibu na mimi na nilikuwa napewa pesa ya kutosha so to me life nililiona zuri sana. yule kaka hakutaka sana malumbano na mimi na baada ya kugundua aliamua kuendelea na maisha yake na naskia ameoa tayari.

Maisha yanaonekana magumu sana kwangu soon baada ya kumaliza chuo na kurudi nyumbani, ueklekeo umebadirika kabisa na sijui mwisho wake ni upi, kama kaka huyu atasoma haya maneno yangu na kuhisi machungu yangu naomba sana anisamehe kwa yote, I wish nirudishe wakati nyuma, kampani na wale wote walionidanganya hawapo tena karibu yangu, nimekaa nyumbani hata kazi sina, sina kitu na sina pakujishikiza, I feel so much pain.

Kitu kingine kinachoniumiza zaidi tena sana naskia yule kaka amefanikiwa sana kwa sasa, napata wakati mgumu sana kama nitapata mtu mwenye maisha ya upendo na mazuri kama yeye, marafiki zangu kila nikiomba ushauri wako wananisema na kunilaumu, najua nishakosea ila naomba ndugu zangu mnishauri nifanye nini? mimi sio wa kwanza kukosea, maisha najua yataendelea lakini je kwa style ipi? najuta sana na kila nikisikia mtu anamuongelea huyu kaka naskia kama nataka kupasuka, nikialikwa harusini nashindwa kwenda sababu nahisi nayeye atakuwepo kwani asilimia kubwa ya watu anaowafahamu nawajua pia, nina wakati mgumu sana naomba mnishauri.
kinachokufanya ujute ni jamaa kuwa na maisha mazuri tu na kama mambo yake yangekuwa ovyo usingemkumbuka hata robo wala usingekuwa na majuto mda huu.....unachotakiwa kfanya ni kusimama na kupigania maisha yako mwenyew na kumbuka haupo pekeyako kwan wako weng na vyet kitaa ila bado wanakomaa ili mambo yakae fresh so komaa dada life ni gum kwa kila mtu,achana na jamaa fuata yakwako
 
Hiyo kawaida sana ktk maisha mamii, just move on naa acha kabisa kufikiria tena failure za nyuma utashindwa kusonga mbele bureeee. Uzuri umekubali mwenyewe ulikosea so anza ukurasa mpya now maisha yaendeleee
 
Aaah jamani mbona Nipo sana, hatujabahatika tu kukutana. Vipi mzima lakini na wadogo zangu?

Wapo hawajambo, unajua dad Kaboom eti anasema nisiwe napita dukani kama yeye hayupo, eti nikikaidi atanipigia kelele za mwizi. Ndo maana unaona nimeacha kuja dukani.
 
Hahaha daddy anakuwa kama baba kumbena siku hizi. Ananibania kichizi teh
 
Unachojuta sio kumuacha huyo mtu..... Unajuta
Huna kazi, huna mtu wa kueleweka, jamaa kaoa tena ana mafanikio so unatamani we ndo ungekua wife

Tafuta kazi, maisha tuendelee shit happens unachojutia hakuna, wengine tumepitia mauza uza hapa hata uhakika wa kuingia peponi haupo!!!! Tunagonga cheers maisha yanaendelea

Mmh aiseee
 
Hahaha daddy anakuwa kama baba kumbena siku hizi. Ananibania kichizi teh

Eti hata Benny amekatazwa kuja kuulizia vitabu vya biological science. Ila jamaa naye alizidi kuja kuja home bana.

Kaboom noma, itabidi watu walazimishe tu akatae asikatae.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 na miezi karibu 9, ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika chuo kimoja hapa Tanzania, sijaolewa na kwa dini mimi ni mkristo wa kuzakliwa na kubatizwa.

Katika maisha yapo mengi ambayo mtu unaweza kuyafanya na baadae ukajutia kwa nini umeyafanya na akili gani imekutuma uyafanye, binafsi najuta kwani nimekuwa mpumbavu kiasi hiki, najuta kwa nini nilifanya haya yote na kwa akili gani ilinituma niyafanye haya, inawezekana May be it was not planned but why I did this?

Nakumbuka nikiwa secondary nilikutana na handsome boy mmoja ambaye namfahamu hadi kwao, sikujua intention yake by then but I think nilikuwa mtoto. huyu mkaka aliniita sehemu mbalimbali nilikubali kuwa nakutana nae and the guy was very decent til now the guy is decent, hakuwahi kunionesha kama ananitaka kimapenzi kwa kipindi chote ambacho nimekuwa naye, alikuwa ananisaidia sana by then na soon b aada ya kuingia chuo, aliniomba tuwe wapenzi, sikukubali wala sikukataa, nilibaki katikatikati ila nilikuwa naendeshwa na mkumbo wa shule sababu sikujua kama ule muda was right for to make a very huge decesion.

Nilikubali baadae lakini nilibadilishwa sana na upepo wa chuo sababu niliwekeza kwenye bata zaidi bila ya kuangalia mbele yangu, baadae niliamua kumkataa kabisa huyu kaka sababu hakuwa karibu na mimi na kingine nilipata watu wengine ambao walikuwa karibu na mimi na nilikuwa napewa pesa ya kutosha so to me life nililiona zuri sana. yule kaka hakutaka sana malumbano na mimi na baada ya kugundua aliamua kuendelea na maisha yake na naskia ameoa tayari.

Maisha yanaonekana magumu sana kwangu soon baada ya kumaliza chuo na kurudi nyumbani, ueklekeo umebadirika kabisa na sijui mwisho wake ni upi, kama kaka huyu atasoma haya maneno yangu na kuhisi machungu yangu naomba sana anisamehe kwa yote, I wish nirudishe wakati nyuma, kampani na wale wote walionidanganya hawapo tena karibu yangu, nimekaa nyumbani hata kazi sina, sina kitu na sina pakujishikiza, I feel so much pain.

Kitu kingine kinachoniumiza zaidi tena sana naskia yule kaka amefanikiwa sana kwa sasa, napata wakati mgumu sana kama nitapata mtu mwenye maisha ya upendo na mazuri kama yeye, marafiki zangu kila nikiomba ushauri wako wananisema na kunilaumu, najua nishakosea ila naomba ndugu zangu mnishauri nifanye nini? mimi sio wa kwanza kukosea, maisha najua yataendelea lakini je kwa style ipi? najuta sana na kila nikisikia mtu anamuongelea huyu kaka naskia kama nataka kupasuka, nikialikwa harusini nashindwa kwenda sababu nahisi nayeye atakuwepo kwani asilimia kubwa ya watu anaowafahamu nawajua pia, nina wakati mgumu sana naomba mnishauri.

Ni kwanini sasa ukaamua kujiita luckman badala ya luckwoman??

Hebu jichunguze sana isije ukawa na tabia za kuvaa kata K.
 
Mbona hii story kama inanihusu sana? Mazingira anayosimulia dada hapo ni copy & paste na maisha yangu halisi, ingawa naona difference ndogo sana mahali. Mleta mada, wewe ni J ama?
 
Wewe humpendi huyo kaka bali unahitaji mtu wa kukuweka mjini baada ya hao wengine kupotea ghafla.... Kwa nini usifanye hata unasiriamali?
 
Eti hata Benny amekatazwa kuja kuulizia vitabu vya biological science. Ila jamaa naye alizidi kuja kuja home bana.

Kaboom noma, itabidi watu walazimishe tu akatae asikatae.
Teh daddy alikuwa kanichoka home kinoma, ghafla nashangaa hataki hata nisalimiane na jinsia pinzani. Sijui yamemkuta yapi
 
Teh! Ninyi ndio mlivyo mkijiona warembo mnajifanya mnajua kuchagua...Siku nyingine muwe mnaangalia kesho yenu....
 
Back
Top Bottom