Ninajuta kwa niliyoyafanya

Ninajuta kwa niliyoyafanya

Ndio maana nashauri vijana kudate graduates walionaliza 2-3yrs iliyopita. Angalau wao/wengi wanajua tayari maisha ni kitu gani.

Pole sana, unachopitia wamekipitia walio wengi. Sio kila mtu atakuwa na maisha yaliyonyooka, twists za hapa na pale ndio maisha yenyewe hayo.
 
Ndio maana nashauri vijana kudate graduates walionaliza 2-3yrs iliyopita. Angalau wao/wengi wanajua tayari maisha ni kitu gani.

Pole sana, unachopitia wamekipitia walio wengi. Sio kila mtu atakuwa na maisha yaliyonyooka, twists za hapa na pale ndio maisha yenyewe hayo.
Yani unashauri vijana wawe wanatumia vitu used zaidi, siyo?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[Sk8er Boi]
He was a boy, she was a girl
Can I make it any more obvious?
He was a punk, she did ballet
What more can I say?
He wanted her, she'd never tell
Secretly she wanted him as well
But all of her friends stuck up their nose
They had a problem with his baggy clothes
He was a skater boy, she said see you later boy
He wasn't good enough for her
She had a pretty face
But her head was up in space
She needed to come back down to earth
Five years from now, she sits at home
Feeding the baby, she's all alone
She turns on Tv, guess who she sees?
Skater boy rockin' up Mtv
She calls up her friends, they already know
And they've all got tickets to see his show
She tags along, stands in the crowd
Looks up at the man that she turned down
He was a skater boy, she said see you later boy
He wasn't good enough for her
Now he's a superstar, slammin' on his guitar
Does her pretty face see what's he's worth
He was a skater boy, she said see you later boy
He wasn't good enough for her
Now he's a superstar, slammin' on his guitar
Does her pretty face see what's he's worth
Sorry girl, but you missed out
Well tough luck that boy's mine now
We are more than just good friends
This is how the story ends
Too bad that you couldn't see
See the man that boy could be
There is more than meets the eye
I see the soul that is inside
He's just a boy, and I'm just a girl
Can I make it any more obvious?
We are in love
Haven't you heard how we rock each others
world?
I'm with the skater boy, I said see you later boy
I'll be the backstage after the show
I'll be at the studio singing the song we wrote
About a girl he used to know
I'm with the skater boy, I said see you later boy
I'll be the backstage after the show
I'll be at the studio singing the song we wrote
 
kwa hiyo unataka nini sasa mbona hueleweki? hela za kuhongwa? kuolewa na mwenye pesa au unataka kazi
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25, ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika chuo kimoja hapa Tanzania, sijaolewa na kwa dini mimi ni mkristo wa kuzakliwa na kubatizwa.

Katika maisha yapo mengi ambayo mtu unaweza kuyafanya na baadae ukajutia kwa nini umeyafanya na akili gani imekutuma uyafanye, binafsi najuta kwani nimekuwa mpumbavu kiasi hiki, najuta kwa nini nilifanya haya yote na kwa akili gani ilinituma niyafanye haya, inawezekana May be it was not planned but why I did this?

Nakumbuka nikiwa secondary nilikutana na handsome boy mmoja ambaye namfahamu hadi kwao, sikujua intention yake by then but I think nilikuwa mtoto. huyu mkaka aliniita sehemu mbalimbali nilikubali kuwa nakutana nae and the guy was very decent til now the guy is decent, hakuwahi kunionesha kama ananitaka kimapenzi kwa kipindi chote ambacho nimekuwa naye, alikuwa ananisaidia sana by then na soon b aada ya kuingia chuo, aliniomba tuwe wapenzi, sikukubali wala sikukataa, nilibaki katikatikati ila nilikuwa naendeshwa na mkumbo wa shule sababu sikujua kama ule muda was right for to make a very huge decesion.

Nilikubali baadae lakini nilibadilishwa sana na upepo wa chuo sababu niliwekeza kwenye bata zaidi bila ya kuangalia mbele yangu, baadae niliamua kumkataa kabisa huyu kaka sababu hakuwa karibu na mimi na kingine nilipata watu wengine ambao walikuwa karibu na mimi na nilikuwa napewa pesa ya kutosha so to me life nililiona zuri sana. yule kaka hakutaka sana malumbano na mimi na baada ya kugundua aliamua kuendelea na maisha yake na naskia ameoa tayari.

Maisha yanaonekana magumu sana kwangu soon baada ya kumaliza chuo na kurudi nyumbani, ueklekeo umebadirika kabisa na sijui mwisho wake ni upi, kama kaka huyu atasoma haya maneno yangu na kuhisi machungu yangu naomba sana anisamehe kwa yote, I wish nirudishe wakati nyuma, kampani na wale wote walionidanganya hawapo tena karibu yangu, nimekaa nyumbani hata kazi sina, sina kitu na sina pakujishikiza, I feel so much pain.

Kitu kingine kinachoniumiza zaidi tena sana naskia yule kaka amefanikiwa sana kwa sasa, napata wakati mgumu sana kama nitapata mtu mwenye maisha ya upendo na mazuri kama yeye, marafiki zangu kila nikiomba ushauri wako wananisema na kunilaumu, najua nishakosea ila naomba ndugu zangu mnishauri nifanye nini? mimi sio wa kwanza kukosea, maisha najua yataendelea lakini je kwa style ipi?

Najuta sana na kila nikisikia mtu anamuongelea huyu kaka naskia kama nataka kupasuka, nikialikwa harusini nashindwa kwenda sababu nahisi nayeye atakuwepo kwani asilimia kubwa ya watu anaowafahamu nawajua pia, nina wakati mgumu sana naomba mnishauri
Mbona huyu anaonekana ni dume? Siyo kuwa anacheazea watu. Angalia majibu yake:::: Sakata la watumishi hewa: RC Makonda awaapisha wakuu wa Idara wote jijini Dar
 
Una njaa ndio maana unamkumbuka jamaa. Sikuzote SHAKE WELL BEFORE USE [emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom