Ninajitolea kutoa namba za machimbo ya China kwa wapambanaji wenzangu

Wewe ni Sandaland au naibu meya wa jiji la hovyo (DSM)... mfanyabiashara msomi, bwana"Omary Yenga"....?!!?!
 
Kuna watu walikuja na maneno matamu zaidi ya hayo..watu wakaishia maumivu..huko PM ni hatari zaidi ya hatari msiseme hatukuwaambia..msije kulia Lia hapa Tena ..Dunia ya Leo kijana unamiliki smartphone unashindwa agiza china huu ni uzembe mkubwa au kutwa kushinda kufuatilia umbea wa mitandaoni. Nenda Alibaba au express etc nunua au pata sample etc leta mzigo Kwa meli au ndege ni wewe tu.uzuri humu Kuna nyuzi kibao za kusaidia namna gani unaweza nunua china na ukasafirisha .Achana na makanjanja wa PM au Whatsapp huko utapigwa ulie kilio Cha mbwa Koko..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa. Wamekusikia.
 
Ukisikia tu PM
Ukasikia tu, Kada wa CCM asiye na njaa.
Hapo inabidi uwaachie wapambanaji anaowataka.

Sasa umeshindwa nini kuweka hapo kwenye post.
Kama unaona ni utapeli unakaa zako pembeni. Halafu usinipangie kwenye uzi wangu. Kama kuna mtu PM nimemwomba namba, pesa au mimi kumpa namba yangu anaweza jitokeza. Acheni fikra za kimaskini
 
Ili kuunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM leo nami nimeona nichangie angalau connection ya machimbo kadhaa ya vitu mbalimbali huko China. Haya ni machimbo ambayo nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa miaka kadhaa sasa. Ninatumaini itasaidia kwa wapambanaji ambao wanahangaika kupata connection hadi wengine kutapeliwa na watanzania wenzao wanaowaagizia.

Wanaohitaji wanicheki PM. Nina contacts za machimbo yafuatayo;
1. Chimbo la aina zote za viatu vya kiume, vya kike na watoto.
2. Handbags, saa na mabegi ya shule
3. Chimbo la mashine za printing, na accessories zake.
4. Lab equipments
5. Original Electronics devices kama TV, Fridge nk.
6. Simu

Mimi ninatoa hizi connections bure. Siko hapa kufanya biashara ya kuwaagizia watu au kuhitaji malipo yoyote. Kama hizi connections zitakusaidia basi utatoa hata sadaka kwa watoto yatima. Kimsingi mimi ni kada wa CCM ambaye sina njaa.

UPDATES: Zoezi linaenda vizuri. Vijana wamejitokeza na ninawatakia kila la heri. Nitafunga PM siku ya ijumaa tarehe 15/09/2023, saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

LEO 15/09/2023 ZOEZI LIMEFUNGWA RASMI. NAWAPONGEZA WOTE MLIOKUJA PM NA NINAWATAKIA MAFANIKIO KWENYE KAZI ZENU.

View attachment 2746077View attachment 2746078View attachment 2746080View attachment 2746085
Boss nakuomb sana Nitumie Pm Tafadhalii
 
mkuu mm ndo nimeiona leo thread aisee naomba nisiadie connection ya hao suppliers au machimbo ya china nina uhitaji sana mkuu plzzzz



haswa simu, tv na electronics mbali mbali, mikoba, printers na viatu vya kike



namba yangu ni 0769939879
 
Back
Top Bottom