kianja kyamutwara
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 200
- 207
Kama uzi unavosomeka ninaomba mwenye uelewa au anajua sehem wanapotoa mafunzo ya mbwa,na kuuza anisaidie, ninamhitaji sana, kama yupo ani tafute tuyajenge.
Nipo Dar, Kinondoni Bunju B.
Karibu kwa msaada
Nipo Dar, Kinondoni Bunju B.
Karibu kwa msaada