Ninaishi na maumivu

Ninaishi na maumivu

Wapelekee watoto yatima namna hiyo hautapona utakuwa ukiziona unakumbuka , namna alivyoteseka kipindi mgonjwa,, (niliwahi kuuguza mgonjwa wa kansa ya hivyo macho kutoka nje) so naelewa hakuwa ndg ila mpk leo sijasahau jinsi alivyotseka, alikuwa akilia machozi ya damu sio maji damu!!

Wapumzike mahali pema sote ndio njia, wao wametangulia tu
Sa nizifanyeje ni nyingi....nguo viatu
 
Pole!
Jitahidi
Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.

Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....

Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.

22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.

27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019

Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.

NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.

Inaniuma nimempokea anatembea lakini nikapeleka nyumbani kwetu Jeneza 😭😭 Mungu nitamlilia sana
Jitahidi kukubaliana na kilichotokea ili ukawe makini zaidi hata barabarani.
 
Acha nitoke kwenye huu uzi, maana hata nguo zake zipo bado, nilienda mwezi wa 7 kutengeneza kaburi lake, nikakuta pembezoni kuna makaburi mapya ya malaika wengine, niliumia sana sana, bora ningekufa mie ila mtoto akabaki nae ale maisha 🙌
Ufe halafu utamu wako atanipa nani Sasa !? Acha hizo my 🥰🥰💕
 
Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.

Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....

Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.

22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.

27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019

Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.

NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.

Inaniuma nimempokea anatembea lakini nikapeleka nyumbani kwetu Jeneza 😭😭 Mungu nitamlilia sana
Dah! Pole sana aiseee, hivi vitu havizoeleki.

Nuru imeondoka iliyokuwa ina ndoto pia ya kutimiza mengi, inasikitisha kwa kweli.
 
Poleni sana Mungu awape faraja yake marehemu apumzike kwa Amani, pole sana, maumivu yakufiwa yaache tu.
 
😂😂😂Nami niliogopa tu kucheka msibani,ila niliko huku...Nimecheka balaa 🙌
Mara ya kwanza niliona ngoja nikaushe hata kuchek pale pale niliogopa ila baada ya kukuta Braza kaka amecheka nikasema haya ndo ya mwinyi kwenye msiba wa magu anauliza hapa ni wap vile😃😃😃ikabid nilud kucheka na kumjibu😃
 
Back
Top Bottom