Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

Feb 7, 2012
31
15
Habari zenu, nahitaji viungo kama Parsely,Pilipili manga, Mdalasini,Hiliki, karafuu na garlic powder kutoka mashambani, msaada kwa yeyote anaefahamu wakulima ningependa kuchukua direct kutoka huko. Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom