De Queensess Najuh
Member
- Feb 7, 2012
- 31
- 15
- Thread starter
- #21
Asante sanaNenda tanga my dear ndo utapata fresh from shamba
Asante sanaNenda tanga my dear ndo utapata fresh from shamba
Safi sana nitakupm mkuuKuna rafiko yangu yuko sokoni Ilala
Anatoa vitu direct from Shamba
Nadhani atakuwa anafahamiana na wauza viungo maana yeye ni mkongwe pale Ilala.
Sawa nashukuru nitakuja hukoNjoo unguja Boss
OK mkuuSafi sana nitakupm mkuu
Habari.je bado una uhitaji wa viungo tena?Habari zenu, nahitaji viungo kama Parsely,Pilipili manga, Mdalasini,Hiliki, karafuu na garlic powder kutoka mashambani, msaada kwa yeyote anaefahamu wakulima ningependa kuchukua direct kutoka huko. Asanteni
Ndio bado nahitajiHabari.je bado una uhitaji wa viungo tena?
Nina iliki kg 50Ndio bado nahitaji