Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

Joined
Feb 7, 2012
Posts
31
Reaction score
15
Habari zenu, nahitaji viungo kama Parsely,Pilipili manga, Mdalasini,Hiliki, karafuu na garlic powder kutoka mashambani, msaada kwa yeyote anaefahamu wakulima ningependa kuchukua direct kutoka huko. Asanteni
 
Sasa cha kufanya inabidi uwe unavifuata mwenyewe huko mashamban then uvilete sokoni ingependeza
 
Back
Top Bottom