Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 533
- 1,225
Naenda moja kwa moja kwenye maada.
Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa.
Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine.
Mzazi mwenzangu mwenye watoto watatu tumetengana rasimi zaidi ya mwaka sasa na aliamua kuniachia watoto na kwenda kuanzisha maisha yake zaidi ya mwaka sasa, awali nilitegemea kuwa huyu mama mwenye mtoto mmoja angeweza kuwatunza na kuwajali hawa watt watatu lakini imekuwa tofauti. Lakini pia amekuwa akilazimisha na yeye awe na watoto watatu kama mwenzie jambo ambalo kwangu limekuwa gumu. kiufupi siwezi kuongeza watoto zaidi ya hawa wanne niliojaliwa wanatosha. Huyu mzazi mwenye mtoto mmoja nae ameamua kuondoka nae tumetengana rasimi kwa sababu matakwa yetu yametofautiana na yeye pia ameacha mtoto kwangu.
Hivyo kwa sasa nina watoto wanne ndani ya nyumba yangu. Miaka 8 mmoja, miaka 6 mmoja na miaka 2.5 wawili.
Baada kutafakari sana, nimefikiria vitu mhimu viwili
Kwanza kuwalea na kuwatunza hawa watoto kama ilivyo dhamira yangu toka awali bila kupitia changamoto yoyote
Pili, mimi mwenyewe kupata rafiki, mfariji na mshauri ambae muda mwingi atakuwa pembeni yangu. Hapa tendo la ndoa ni mhimu sana kwangu maana kuna wakati linapunguza makasiriko.
Sharti moja pekee nililonalo kwa mwanamke huyu nje sharti la kwanza la kuwa tasa, nahitaji awe mama mlezi, awapende na kuwajali watoto wangu (ingawa najua hii ni ngumu sana ila naomba Mungu anisaidie iwezekane), umri wake uwe chini miaka 30 ila asipungue 24.
Jukumu na malengo yangu niliyojiwekea sasa yametimia, lengo la kwanza ilikuwa kupata watoto, lengo la pili sasa naanza kutafuta hela.
Naweka angalizo kwa mwanamke alie tayari, sihitaji mtoto tena.
Kama una ndugu, dada, rafiki au jirani naomba karibu sana kwenye DM yangu.
Lakin pia nakaribisha ushauri kutoka kwenu wanajukwaa.
Mwisho